Mpendao simu oneni

Maoni

 1. hapo ipo kazi je kuna usalama kwani naona kama kitanda hapo.

  JibuFuta
 2. hapo ipo kazi je kuna usalama kwani naona kama kitanda hapo.

  JibuFuta
 3. Bwaya,
  Je hii imetokea waoi?
  Je kulikuwa na maafa?
  hebu tujuze basi, mkasa mzima juu ya habari hii.

  JibuFuta
 4. Kweli kabisa nakubaliana na kaka Shaban hapo kwamba TUJUZE lakini kuna watu kama siyo vijitu havisikii kama siyo hawaelewi labda hawajaelewa. Lakini kweli hii ni hatari

  JibuFuta
 5. Wadau,

  Aliyekuwa mmiliki wa hayo mabaki ya simu na kitanda kinachoonekana, alikuwa akiongea na simu hali ikiwa imeunganishwa kwenye umeme. Ikalipuka. Akafa.

  Tunajifunza nini? Je, tunajua maafa yanayoambatana na matumizi ya simu?

  JibuFuta
 6. siamini chris kweli tena hii ni kututisha tu

  JibuFuta
 7. Ebwanaee,kwa sasa kompyuta za mapajani,simu vimekuwa ni kama ulevi nchi hizi.Hapa udosini majuzi mzee mmoja kaungua sikio na sehemu ya kichwa upande wa kuume baada ya kulipukiwa na simu.

  Jamaa wanawalaumu wachina kwa bidha zao kuwa haizna ubora wa kutosha.Ulevi wa hivyo vitu umeanza kuniandama.

  JibuFuta
 8. Ebwanaee,kwa sasa kompyuta za mapajani,simu vimekuwa ni kama ulevi nchi hizi.Hapa udosini majuzi mzee mmoja kaungua sikio na sehemu ya kichwa upande wa kuume baada ya kulipukiwa na simu.

  Jamaa wanawalaumu wachina kwa bidha zao kuwa haizna ubora wa kutosha.Ulevi wa hivyo vitu umeanza kuniandama.

  JibuFuta
 9. Chrissie na Edigio, huu ni upande wa pili wa teknojia. Si utani. Kompyuta zinapofusha. Kompyuta za mapajani zinaharibu mbegu za kiume, simu ndiyo hivyo. Kila kitu kina pande mbili.

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Fumbo mfumbie mwerevu

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3