Sherehe bila mwenye sherehe, inawezekanaje?

Umewahi kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtu fulani bila ridhaa yake? Au unaigeuza kabisa inakuwa sio kumsherehekea yeye, ila kufanya utakayo, kwa mwamvuli wa kumsherehekea yeye!

Kama ingekuwa ni wewe ndiye mwenye sherehe, ungejisikiaje? Watu wala, wanywa, hata kadi ya mwaliko hawakupi. Na bado wanadai wanakumbuka kuzaliwa kwako. Kweli? Hivi ingekuwa wewe ungejisikiaje?

Maoni

  1. Rasta, asante kwa kunitembelea. Maoni ya watu kama wewe ni ya muhimu. Karibu kupitia pitia humu na kuacha maoni yako ili kuendeleza majadiliano.

    Asante kwa ushirikiano.

    JibuFuta
  2. Mkuu Bwaya nimekaribia mkuu,tuko pamoja.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Pay $900? I quit blogging