Mkono wa Mama


Enzi za ujana wangu, mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili, nikiwa mwanafunzi wa "shule za manerumango" nilipoukamata mkono wa mama Migiro mbele ya Pro.Mmuya. Nilikuwa nimeshinda shindano la nsha. Hapa nakabidhiwa "karatasi" la ushahidi kama ilivyo kawaida ya waswahili, kwamba kila kitu lazima kifuatane na cheti. Nimeiweka picha hii kukukumbuka siku nilipozaliwa. Sina hakika kama ndiyo yenyewe, manake naonekana mzee mzee.

Maoni

  1. Mzee hongera kwa kushindaga hiyo insha lakini kwa kuwahi kupeana mkona na mama huyo. Inawezekana ilikuwa blessing hiyo. Pengine siku moja ukavaa viatu vyake

    JibuFuta
  2. Haya baba. Nimefurahi kukuona humu. Karibu kwa mikono miwili tufikiri namna ya kuvaa viatu hivyo ama kushona vingine kabisa ikibidi.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Fumbo mfumbie mwerevu

Mtoto ni nani?

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1