Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)
Katika mchakato wa kuomba ajira baada ya kuona tangazo la kazi, mambo matatu ni dhahiri. Mosi, huombi kazi hiyo wewe mwenyewe. Wapo watu wengi wanaoandika maombi na hivyo kuongeza ushindani wa nani atapata. Pili, nyaraka unazotuma kwa mwajiri mtarajiwa ndizo zinazojenga utambulisho wako kabla wewe mwenyewe hujafahamika. Tatu, afisa mwajiri hatatumia muda mrefu kusoma maelezo yako. Katika hali ya kawaida, atatumia dakika moja kuamua ikiwa amevutiwa na maelezo yako ama la.
Nitakisaka sana. maana nimesoma kile THINK BIG duh! kali sana, napenda mno. Kazi nzuri kaka. Next Time bro
JibuFutaNimesoma vitabu vyake kadhaa, tatizo langu ingawa labda halihitajiki kuwa tatizo ni kwamba nikimsoma najua ni mkristo halafu ni msabato wakati anaongelea mambo ya kawaida. Hiki kipya kikoje?
JibuFutaNapenda lakini vitabu vyake ila huwa nastukia kirahisi nini nguzo yake kitu kinifanyacho niwaze !:-(