TAKE THE RISK - Kitabu kipya




Kitabu kipya cha Dr. Benjamin Carson. Kitafute ukisome.

Maoni

  1. Nitakisaka sana. maana nimesoma kile THINK BIG duh! kali sana, napenda mno. Kazi nzuri kaka. Next Time bro

    JibuFuta
  2. Nimesoma vitabu vyake kadhaa, tatizo langu ingawa labda halihitajiki kuwa tatizo ni kwamba nikimsoma najua ni mkristo halafu ni msabato wakati anaongelea mambo ya kawaida. Hiki kipya kikoje?

    Napenda lakini vitabu vyake ila huwa nastukia kirahisi nini nguzo yake kitu kinifanyacho niwaze !:-(

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Heri ya mwezi mpya!

Uislamu ulianza lini?

Kikao cha tathmini na mipango ya familia

Huu si udhaifu wa kiume?