Strictly gospel na mijadala ya kiimani

Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa blogu maarufu ya Strictly Gospel. Tofauti na blogu nyinginezo, wachangiaji wengi wa blogu hii nawafahamu kwa sura ingawa mmiliki wake sijawahi kuonana naye.

Japo mara nyingine nashindwa kushiriki mijadala hiyo ya kiimani moja kwa moja kama ambavyo huwa nashindwa kublogu humu ndani, ni karibu kila siku lazima napita pale kuona namna mijadala ya kiimani inavyokwenda.

Hapa nimeupata huu hapa mmoja. Bonyeza hapa kuusoma na bila shaka utajifunza mengi. Unayo maoni yoyote? Tembelea blogu nzima hapa.

Maoni

  1. Binafsi nami nimekuwa msomaji mzuri wa blog hii ya strictly Gospel. Nimejifunza mengi. Sijui niseme ni bahati mbaya ama nzuri, mijadala mingi pale nimekuwa nikipingana nayo. Hakuna hata mmoja nimetokea kuu-support.

    Strictly Gospel imenifunza mambo kadhaa.

    Kwanza,imenijuza kuwa kuna ombwe kubwa kati ya watu wa dini tofauti na kati ya dhehebu na dhehebu. Ombwe hili latokana hasa na namna watu watafsirivyo maandiko matakatifu pamoja na mafunzo anuai wayapatayo wawapo ktk nyumba zao za ibada. Kuna mawazo ya baadhi ya wachangiaji yamekuwa ni ya kusikitisha na waziwazi wanaonekana kupotoka pamoja na kujihakikishia kuwa wao ndio walio sahihi.

    Hawa wajihakikishiao wako sahihi, hutetea hoja zao kwa mujibu wa vitabu vitakatifu bila kutambua kuwa maandiko haya bila HEKIMA, AKILI na UTU/UBINADAMU ni bure kabisa na wala si lolote si chochote. Ni mambo ambayo nilitaka kuyahitimishia pale strictly gospel lakini kiukweli, moderator alinikata maini kabisa!

    Nadhani hii ni fursa ya kufunzwa na kufunza kwa uhuru kwani nikiandikacho naamini kitaonekana kama nilivyokiandika. Hivyo nimeona ni vyema niweke hapa bayana juu ya niliyoyapata pale Strictly Gospel.

    Namshauri mmiliki wa blog hii, ambaye pia bila shaka ndiye moderator, aondoe option ya moderation kwa kuzingatia aina ya mijadala iwekwayo pale. Inakatisha tamaa saaaaaana pale ambapo mtu unaandika maneno elfu moja, halafu ukija kuangalia kwenye comment unakuta maneno ishirini. Ndugu mmiliki wa Strictly Gospel, uchangiaji wa maoni uweke uwe uhu! ili wachangiaji nao wawe huru kueleza yakwao, kwa namna waonavyo wao.

    Nashangaa moderator anapublish comment ya mtu anayesema Strictly gospel ni kwa ajili ya wakristo na huku kuna kipengele cha Uislam na ukristo ndani ya blog hiyo hiyo! Hii ni ishara ya biasness.

    Ni vema akaondoa moderation kwa sababu , mtu anaandika maoni huku anawaza kama komenti yake itakuwa published kama ilivyo au la. Mimi nadhani hata dhana ya kusema blogs ni huru, inapotea kabisa!

    JibuFuta
  2. Binafsi nami nimekuwa msomaji mzuri wa blog hii ya strictly Gospel. Nimejifunza mengi. Sijui niseme ni bahati mbaya ama nzuri, mijadala mingi pale nimekuwa nikipingana nayo. Hakuna hata mmoja nimetokea kuu-support.

    Strictly Gospel imenifunza mambo kadhaa.

    Kwanza,imenijuza kuwa kuna ombwe kubwa kati ya watu wa dini tofauti na kati ya dhehebu na dhehebu. Ombwe hili latokana hasa na namna watu watafsirivyo maandiko matakatifu pamoja na mafunzo anuai wayapatayo wawapo ktk nyumba zao za ibada. Kuna mawazo ya baadhi ya wachangiaji yamekuwa ni ya kusikitisha na waziwazi wanaonekana kupotoka pamoja na kujihakikishia kuwa wao ndio walio sahihi.

    Hawa wajihakikishiao wako sahihi, hutetea hoja zao kwa mujibu wa vitabu vitakatifu bila kutambua kuwa maandiko haya bila HEKIMA, AKILI na UTU/UBINADAMU ni bure kabisa na wala si lolote si chochote. Ni mambo ambayo nilitaka kuyahitimishia pale strictly gospel lakini kiukweli, moderator alinikata maini kabisa!

    Nadhani hii ni fursa ya kufunzwa na kufunza kwa uhuru kwani nikiandikacho naamini kitaonekana kama nilivyokiandika. Hivyo nimeona ni vyema niweke hapa bayana juu ya niliyoyapata pale Strictly Gospel.

    Namshauri mmiliki wa blog hii, ambaye pia bila shaka ndiye moderator, aondoe option ya moderation kwa kuzingatia aina ya mijadala iwekwayo pale. Inakatisha tamaa saaaaaana pale ambapo mtu unaandika maneno elfu moja, halafu ukija kuangalia kwenye comment unakuta maneno ishirini. Ndugu mmiliki wa Strictly Gospel, uchangiaji wa maoni uweke uwe uhu! ili wachangiaji nao wawe huru kueleza yakwao, kwa namna waonavyo wao.

    Nashangaa moderator anapublish comment ya mtu anayesema Strictly gospel ni kwa ajili ya wakristo na huku kuna kipengele cha Uislam na ukristo ndani ya blog hiyo hiyo! Hii ni ishara ya biasness.

    Ni vema akaondoa moderation kwa sababu , mtu anaandika maoni huku anawaza kama komenti yake itakuwa published kama ilivyo au la. Mimi nadhani hata dhana ya kusema blogs ni huru, inapotea kabisa!

    JibuFuta
  3. Binafsi nami nimekuwa msomaji mzuri wa blog hii ya strictly Gospel. Nimejifunza mengi. Sijui niseme ni bahati mbaya ama nzuri, mijadala mingi pale nimekuwa nikipingana nayo. Hakuna hata mmoja nimetokea kuu-support.

    Strictly Gospel imenifunza mambo kadhaa.

    Kwanza,imenijuza kuwa kuna ombwe kubwa kati ya watu wa dini tofauti na kati ya dhehebu na dhehebu. Ombwe hili latokana hasa na namna watu watafsirivyo maandiko matakatifu pamoja na mafunzo anuai wayapatayo wawapo ktk nyumba zao za ibada. Kuna mawazo ya baadhi ya wachangiaji yamekuwa ni ya kusikitisha na waziwazi wanaonekana kupotoka pamoja na kujihakikishia kuwa wao ndio walio sahihi.

    Hawa wajihakikishiao wako sahihi, hutetea hoja zao kwa mujibu wa vitabu vitakatifu bila kutambua kuwa maandiko haya bila HEKIMA, AKILI na UTU/UBINADAMU ni bure kabisa na wala si lolote si chochote. Ni mambo ambayo nilitaka kuyahitimishia pale strictly gospel lakini kiukweli, moderator alinikata maini kabisa!

    Nadhani hii ni fursa ya kufunzwa na kufunza kwa uhuru kwani nikiandikacho naamini kitaonekana kama nilivyokiandika. Hivyo nimeona ni vyema niweke hapa bayana juu ya niliyoyapata pale Strictly Gospel.

    Namshauri mmiliki wa blog hii, ambaye pia bila shaka ndiye moderator, aondoe option ya moderation kwa kuzingatia aina ya mijadala iwekwayo pale. Inakatisha tamaa saaaaaana pale ambapo mtu unaandika maneno elfu moja, halafu ukija kuangalia kwenye comment unakuta maneno ishirini. Ndugu mmiliki wa Strictly Gospel, uchangiaji wa maoni uweke uwe uhu! ili wachangiaji nao wawe huru kueleza yakwao, kwa namna waonavyo wao.

    Nashangaa moderator anapublish comment ya mtu anayesema Strictly gospel ni kwa ajili ya wakristo na huku kuna kipengele cha Uislam na ukristo ndani ya blog hiyo hiyo! Hii ni ishara ya biasness.

    Ni vema akaondoa moderation kwa sababu , mtu anaandika maoni huku anawaza kama komenti yake itakuwa published kama ilivyo au la. Mimi nadhani hata dhana ya kusema blogs ni huru, inapotea kabisa!

    JibuFuta
  4. Zamani nilikuwa napita sana huko ngoja niaanze tena. Ahsante kwa kutufahamisha na kutukumbusha hili.

    JibuFuta
  5. Ndugu Albert, kila blogu ina sera zake. Sera ya Strictly Gospel ni kumtangaza Yesu. Wewe unaleta mijadala ya kukosoa kinacvhofahamika. Ni lazima haitavumilika!

    Tutafanya makosa kumlazimisha kila mtu afanye vile tunavyotaka wakati anao uhuru wa kuendesha blogu yake vie anavyopenda yeye.

    Isitoshe, wewe nawe una matatizo yako. Biblia inajitosheleza ilivyo yenyewe bila hekima wala ubinadamu wako.

    JibuFuta
  6. Dunia inaongozwa kwa principles, sio mitazamo binafsi kama yenu. Na principle zote zimebebwa kwenye biblia. Sasa anapotokea mtu anayeona mawazo yake ndiyo bora kuliko principles zinazoongoza dunia, kumvumilia ni kutenda dhmabi.

    JibuFuta
  7. Nasikitika kuwa si mpenzi sana wa Blog hiyo japo ni blog maarufu. Cha kusikitisha ni kuwa sijaona kama kunakumtangaza Yesu zaidi ya kueleza hisia na misimamo binafsi. Je ni kweli inamtangaza Yesu?

    JibuFuta
  8. Bwaya,

    Mbona sikuoni tena strictly gospel? Umepotelea wapi? ORBI

    JibuFuta
  9. I think this is among the most significant info for me. And
    i am glad reading your article. But want to remark on few general
    things, The website style is perfect, the articles is really excellent :
    D. Good job, cheers
    Also visit my page ; Hus til salgs i Antalya

    JibuFuta
  10. Definitely believe that which you said. Your favourite justification appeared to be
    on the net the easiest factor to be mindful of. I say to you, I certainly get irked even as other people
    consider issues that they plainly do not know about.
    You managed to hit the nail upon the top and also outlined out the entire thing
    with no need side effect , other people can take a signal.
    Will probably be again to get more. Thanks
    Here is my site - fastigheter i Antalya

    JibuFuta
  11. Hi, this weekend is pleasant in support of me, because this time i am reading
    this enormous informative paragraph here at my house.
    My webpage :: Asunnot Antalyassa

    JibuFuta
  12. Thanks very interesting blog!
    Feel free to visit my website - property in alanya for sale

    JibuFuta
  13. Great delivery. Great arguments. Keep up the amazing effort.
    Also visit my blog post ... immobilienalanya.net

    JibuFuta
  14. It's remarkable for me to have a website, which is good for my know-how. thanks adminWatch The Ultimate Fighter Season 16 Episode 11 Fight the Perfect Fight Online Free Stream
    My web page ; Watch The Ultimate Fighter Season 16 Episode 11

    JibuFuta
  15. Hi therе! Would yοu mind if I share your blοg with my zуnga gгoup?
    There's a lot of folks that I think would really enjoy your content. Please let me know. Thanks
    my page > forex trade market

    JibuFuta
  16. Hi, yеah thіѕ piece οf wгiting is really good and
    I have lеarneԁ lοt of things from it гegагding
    blοgging. thаnks.
    Feel free to visit my weblog ... pikavippii

    JibuFuta
  17. Obviously, you'll be able to go to sites as You - Tube at which you might locate lots of funny vids. (Check out the article: What's
    Reallу Out Therе іn thе Night Sky to see
    how some celestiаl оbjects appеar at different EΜ fгequencies.
    These incluԁе the artist-branded music сhannеls such as The Gratеful Dead
    Сhannel, Emіnem's Shade 45, Jimmy Buffett's Radio
    Maгgaritavіllе; there is evеn
    thе classical music Metгopolitаn Opera Radio chаnnel.

    Fеel fгеe to suгf tο my pagе: internetradio

    JibuFuta
  18. 5. com’s report. Content, keywords and link building
    are some of the factors using which Search Engine Optimization services are taken care of.
    This will not only help you find the best service provider but will help you build an idea
    about the recent SEO market. Is professional search engine marketing the thing that you need.
    If the conversion is higher with a certain keyword or a particular set of keywords, then the SEO vendor can focus on the same keyword to get
    it ranked high in all the search engines.

    The tips are as follows:-. This means that
    they follow only the steps given to them by Google and other major search engines.
    Its professionals would do hard work to achieve the high traffic objective and
    they might taste success in their attempt but they would desist from boasting anything about their success.
    ) of links. So, most move slowly when deciding on who becomes the company's SEO. Don't Forget to Replace the Default Favicon with Your
    Logo. Now even that is quickly defining point of Search Engine Optimization (SEO) can lead
    to intense discussions about the meaning and purpose of SEO.

    No - you name some of your images "breast. And, as more and more companies move larger portions of their advertising budgets to internet marketing, there is an even greater demand for their skills. SEO companies may only offer this type of service. Many organizations try to secure you into extremely lengthy agreements to assurance transaction even if they aren't able to provide outcomes. Once someone clicks on your site, they should see tons of unique informative content. The content must complement the theme of the website design. If customers like what they see, they just might go on reading.

    Here is my webpage - mrradarmusic.com

    JibuFuta
  19. Und dieser erste Schritt ist im Internet das Ansprechen mit der ersten
    Mail. Wenn du ein Mädchen ansprechen willst, um auch eine Antwort zu kriegen und eine
    Unterhaltung anzufangen, dann musst du mit deiner Anschreib-Mail hervorstechen.

    Jedoch das Schwierigkeit durch Diäten wie die Atkins Diät ist's, dass sie Sie setzen rein ernste Gefahr für Bluthochdruck und hohe Cholesterinwerte.

    Look at my weblog - this web site

    JibuFuta
  20. Hey! This post could not be written any better! Reading through this post reminds me of my good old room mate!

    He always kept talking about this. I will forward this
    post to him. Fairly certain he will have a good read.
    Thanks for sharing!

    my blog: green smoke

    JibuFuta
  21. Tennis balls, wiffle balls, ping pong balls, and golf balls can also be used.

    Thus the games like the Mahjongg Spiele as well as the Naegel machen games are more in demand and this is the greatest
    benefit or advantage of the online games. In fact an ideal
    online casino will make the entire gaming experience
    a pleasurable and a real experience to the gamer.

    My weblog radio sender

    JibuFuta
  22. Superb, what a website it is! This webpage gives helpful information to us, keep it up.

    Feel free to visit my web site :: week

    JibuFuta
  23. I was suggested this website by my couѕіn.
    I аm not ѕure whеther this post іs wгіtten by him as nο
    onе еlse knoω such detaileԁ about
    my trοuble. You are wonderful! Thanks!

    Herе is my pagе - simply click the up coming document

    JibuFuta
  24. I realize that there is not a ton of variety in this list, since Rogue and i - Net - Hack are essentially the same and Sorcerer #1 and #2 are more overtly the same.

    Thus the games like the Mahjongg Spiele as well as the Naegel machen games
    are more in demand and this is the greatest benefit
    or advantage of the online games. In fact an ideal online casino
    will make the entire gaming experience a pleasurable and a real experience to the gamer.

    Look at my website online radio
    Also see my website: onlineradio

    JibuFuta
  25. Pop the battery ribbon connector out and remove the battery, again held in with a dab of glue.
    The Lenmar 1530 m - Ah for the Amazon Kindle 1 e-reader is the first choice for consumers.
    Although, sound card is integrated device, it functions similar to brightness of the screen when talking about power consumption.

    Feel free to visit my website; kostenlos spiele spielen
    my website - myvideo downloader

    JibuFuta
  26. Yet another first person shooter game this time around,
    but the first Far Cry was quite good. Stored energy printers.
    I thought it would be cool to make people laugh as I inquire into
    the things that fascinate me, like the trap of being human
    and, at the same time, divine. As a rule of thumb, if an app has been successful in i - OS or Android format, it is likely to also be found on Windows Marketplace.
    Overall I'll say the game isn't that re playable. For an in depth guide to the E8400 chip,
    I highly recommend reading this article: Final
    Thoughts on the Intel E8400. We actually become happier
    people. In an effort to counter the lack of support from Microsoft, an SVG plug-in for Internet Explorer was
    developed and supported by Adobe. The players have to buy the weapons to use from the available shops and weapon stores.
    For people from non technical background these things look like rocket science.

    my website - Full Article

    JibuFuta
  27. What's up to every single one, it's genuinely a nice for me to visit this web page, it contains helpful Information.

    My weblog - diet that works
    Also see my web site :: diets that work

    JibuFuta
  28. Great post however , I was wondering if you could write a litte more on this
    subject? I'd be very grateful if you could elaborate a little bit more. Kudos!

    Feel free to visit my blog post: where can i buy quantrim

    JibuFuta
  29. I'm truly enjoying the design and layout of your blog. It's
    a very easy on the eyes which makes it much more enjoyable for me to come here and visit more often.

    Did you hire out a developer to create your theme?
    Outstanding work!

    Here is my website diet plans for women

    JibuFuta
  30. The film director is the movie production job that you will likely be most drawn to
    if you are interested in creative filmmaking as the director controls the
    creative work of the film. If you are considering doing a movie
    night every now and then with a few people, perhaps an interchangeable room would be better, one with the ability to be
    a living room on the side. Those days are long gone with the implementation of smartphones and the fact that they are now being developed for the
    everyday user rather than business professionals only.

    Also visit my web blog :: kaiser permanente health insurance

    JibuFuta
  31. Face - Time, originally released in June 2010, is an Apple created video chat application that
    allows any device running on i - OS or Macintosh computer featuring a Face - Time camera
    to connect to one another. All you have to do is
    select the movie from the Camera Roll and adjust the slider.
    In cases like this, a number of shots need be included in
    the video, from wide shots of the band to close-ups of the musicians, It is also important to shoot
    a lot of cutaway shots.

    Here is my web page ... http://www.getvids.de

    JibuFuta
  32. Write more, thats all I have to say. Literally, it
    seems as though you relied on the video to make your point.
    You clearly know what youre talking about, why throw away your intelligence on just posting videos to your
    blog when you could be giving us something informative to read?

    Here is my web page: quantrim customer review

    JibuFuta
  33. Hi there, every time i used to check blog posts here early
    in the dawn, for the reason that i love to gain knowledge of more and more.

    my web blog waist height ratio

    JibuFuta
  34. I'm extremely impressed with your writing skills as well as with the layout on your blog. Is this a paid theme or did you modify it yourself? Either way keep up the nice quality writing, it's rare to
    see a great blog like this one these days.

    Review my web-site ... Path of Exile Witch

    JibuFuta
  35. If you desire to increase your knowledge simply keep visiting this
    site and be updated with the latest news update posted here.

    Here is my homepage ... quantrim guarantee

    JibuFuta
  36. You actually make it seem so easy with your
    presentation but I find this matter to be really something which I think I would never understand.

    It seems too complicated and extremely broad for me. I am looking forward for your next post, I'll try to get the hang of it!

    Feel free to surf to my weblog; Minecraft 1.5 Part 1

    JibuFuta
  37. The patent diѕpute cοnceгns the
    Αnԁroіd opегating system.
    Thе sаmѕung galaхy Νоte 2 and bad beсauѕe
    it will be ѕoon гeachіng to the wοгld аt
    IFА. 3, but it wіll ѕtill hіt Vodafone οverseas.
    The Galaxy Mіni haѕ an inbuilt Imаge and νiԁеo editor, ԁocument eԁitοr which сan еaѕіly
    be сοmpaгed to the Galaxy's 1 GB, with 1 GB of RAM. It seems a lot similar to the design of the samsung galaxy S, but there isn't reallу much to choose from.

    Also visіt my web-sіte: http://tviv.org

    JibuFuta
  38. Confesѕiоn: Α Roman Сathοlic Аρp
    іs now aѵaіlable for the iphone, puttіng іts product lineup on par with a landline
    уes some of uѕ are in fаct glad to see our smaгtρhoneѕ gettіng insanelу enοrmouѕ.

    JibuFuta
  39. What's Going down i'm new tο thіs,
    I stumbled upon thіs I've found It positively useful and it has aided me out loads. I am hoping to give a contribution & aid different customers like its aided me. Great job.

    my web site payday loans

    JibuFuta
  40. Hey There. I fοund youг blοg using msn.
    Thіs iѕ a νеry well written аrtіclе.
    I'll make sure to bookmark it and come back to read more of your useful info. Thanks for the post. I'll defіnitely comebаcκ.

    Here is my web pаge ... payday loans

    JibuFuta
  41. thanks all

    JibuFuta
  42. Mume wangu amerudi!!! Baada ya miaka 1 ya ndoa iliyovunjika, mume wangu aliniacha na watoto wawili na maisha yangu yalivunjika. Nilitaka kuyamaliza, nusura nijiue maana alituacha bila chochote. Nimekuwa nimevunjika kihisia wakati huu wote na maisha yanaonekana kutokuwa na maana. Siku moja mwaminifu, nilipokuwa nikivinjari mtandao, nilikutana na baadhi ya shuhuda kuhusu Dk DAWN. Baadhi ya watu walishuhudia kwamba alimrudisha mpenzi wao wa zamani, wengine walishuhudia kwamba anarejesha tumbo na kuponya magonjwa kwa mimea. Nilipendezwa zaidi na upatanisho na mume wangu, ambao Dk. DAWN aliwezesha kumrudisha mume wangu ndani ya siku 3. Sasa mume wangu amerudi na tumekuwa tukiishi kwa furaha tangu wakati huo. Shukrani zote kwa Dk DAWN. Hapa, ninaacha mawasiliano yake kwa kila mtu. Maana kuna changamoto za aina yoyote,
    Barua pepe ( dawnacuna314@gmail.com )
    Whatsapp: +2349046229159

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Haiba ni nini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Makundi Manne ya Tabia za Watoto Kitabia

Uislamu ulianza lini?