Ukiingalia vizuri picha hii unaona nini?




Maoni

  1. Naona chombo cha kuweka vumbi za sigara na mtu maisha yamemshinda

    JibuFuta
  2. bwaya amini usiamini hakuna kitu chochote ambacho kinaweza kufupisha maisha ya bin adamu na hakuna kitu chochote ambacho kinaweza kurefusha maisha ya bin adamu hata kama ni hizo arv wanazotudanganya nazo.

    kila mmoja wetu awe na starehe anayoipenda.kama mimi natumia sigara,pombe na kufanya zinaa ni maisha yangu kwani hapa sitokuwa nafupisha maisha.

    amani kaka.

    JibuFuta
  3. Sio sigara tu kaka Bwaya, hata vyakula tulavyo hufupisha maisha.
    wewe kama huvuti sigara halafu unakula hovyo unaweza kutangulia kufa ukamuacha mvuta fegi anatesa duniani.

    Hebumuangalie mzee Fedel Castro wa Cuba.
    mzee anakula SIGA ila mbaya lakini anaendelea kupeta na maisha, hana wasiwasi.

    JibuFuta
  4. Du picha nzuri ukicheki vizuri sigara inakuwa mwili wa marehemu umelazwa sakafuni.

    JibuFuta
  5. kwaani nani kasema kufa ni kubaya? mnaogopa au kuchukia kufa? kama ni kweli basi mnajichukia wenyewe

    JibuFuta
  6. Kamala kumbe ile elimu ya milo uliyokuwa unatupa ni ili kuharakisha kifo eh?

    JibuFuta
  7. Basi ungefafanua ili wasomaji wako waamue kabla ya kuutumia ushauri wako. Baadhi yetu tulifikiri tofauti. Kwamba elimu ya kula ingesaidia kurefusha maisha.

    JibuFuta
  8. Mimi huwa nafurahi sana napokutana na comments nyingi za Kalama, unakuta ni fupi ila ujumbe ni mzito mno.Nakuaminia brother.

    Hiyo picha kusema kweli inaonesha kama mtu flani....da kweli hiyo taswira Bwaya.

    Thanks Bwaya kwa pic hiyo

    MAKULILO Jr,
    www.makulilo.blogspot.com

    JibuFuta
  9. Nani asiejua kama sigara ni mbaya na inauua pole pole lakini waswahili wanalonga kua kufa kufaana, yetu macho tu.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?

Pay $900? I quit blogging