Kutoka kwa Da'Subi, unaelewa picha hii ilivyo?



Ukiiangalia kwa makini picha hii, utaamua mwenyewe ikiwa hawa jamaa wanajenga darini ama sakafuni? HIyo ngazi iliyowekwa ina kazi gani?

Huu ni mfano mzuri wa jinsi akili zetu zinavyofanya kazi. Unakifikiri kinatokana na ulichokiingiza ubongoni mwako kabla.

Maoni

  1. Hii picha ilivyokaa kaa utafikiri imepindwa katikati? What the hell!

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?

Tabia za Mtoto wa Miaka 0 – 3 Kimahusiano na Kihisia