Jifunze Namna Bora ya Kumzawadia Mwanao

Watoto wanapenda zawadi. Namna watoto wanavyochukulia zawadi inabadilika kulingana na umri. Katika umri mdogo, mtoto huchukulia zawadi kama haki ya kupata kila akipendacho kwa wakati wowote. Mzazi anaporudi nyumbani jioni, kwa mfano, watoto hutarajia pipi bila kufanya chochote.

Lakini kadri mtoto anapoendelea kukua, mtazamo wa zawadi kama haki hupungua. Mtoto huanza kufikiria zawadi kama matokeo ya kufanya kile kinachotarajiwa na mzazi. Mtoto anapofaulu mtihani, mathalani, anatarajia kitu. Unapompa kile anachokitarajia, anajenga hamasa na motisha ya kutia bidii zaidi masomoni.  

Aidha, uzito wa zawadi kwa mtoto hutegemea na wakati. Zipo nyakati ambazo zawadi hubeba maana zaidi kwa watoto kuliko wakati mwingine. Kwa mfano, katika familia nyingi, msimu wa sikukuu unapokaribia watoto hutarajia zawadi zaidi kuliko wakati mwingine wowote. Hawezi kuelewa pale inapotokea mzazi anashindwa kutoa zawadi inayotarajiwa.Katika mipaka ya makala haya, zawadi ni chochote kile anachopewa mtoto kwa minajili ya kukuza uhusiano wake na mzazi na hata kujenga motisha ya kuimarisha tabia njema. Pamoja na manufaa hayo ya zawadi, utoaji holela wa zawadi unaweza kutengeneza matatizo ya kitabia.


Katika makala haya tunajadili mambo matano ya kuzingatia unapomzawadia mwanao.

Fahamu kipi ni zawadi kwa mwanao

Sio kila kitu unachompa mtoto kinaweza kutafsirika kama zawadi kwake. Ili zawadi yako iwe na maana, ni muhimu kumfahamu mtoto vizuri kujua mambo yepi anayapenda zaidi. Kwa mfano, katika umri mdogo, watoto wengi hupenda vitu vitamu. Unapowaletea pipi, keki, biskuti unakuwa umewaweza. Lakini wanapokua, wanajenga matarajio mengine. Ni muhimu kuyaelewa.

Hakikisha zawadi inaendana na kile anachokipenda mtoto. Kila mtoto ana mambo anayopenda kuyafanya katika muda wake binafsi. Kama mwanao anapenda kuchora, kwa mfano, inaleta maana kumletea zawadi ya rangi badala ya michezo ya kidijitali hata kama kwako michezo hiyo inafurahisha zaidi.

Kadhalika, uzito wa zawadi kwa mtoto pia hutegemea nyakati. Katika sherehe ya kuzaliwa, kwa mfano, mtoto anakuwa na matarajio tofauti na yale anayokuwa nayo wakati mwingine. Unapofanya kama anavyotarajia, ni rahisi kuchukulia kwa uzito na hivyo akajisikia vizuri.

Ifanye zawadi iwe adimu

Zawadi inayotolewa mara kwa mara inakuza matarajio. Mtoto anapojua kuwa lazima atapata zawadi kila unaporudi nyumbani, hujenga mazoea ya zawadi. Ili muendelee kuwa marafiki, utalazimika kuendelea kwenda na zawadi kila siku.

Mazoea haya yanajenga tabia ya utegemezi wa zawadi. Inapotokea umeshindwa kumpelekea zawadi kama alivyotarajia, uhusiano wenu unaweza kuzorota. Katika mazingira haya, maana ya zawadi inapotea kwa sababu mtoto anakuwa amejenga matarajio kwenye zawadi.

Sambamba na hilo, ni muhimu zawadi iwe ndogo. Hakuna sababu ya kutoa zawadi kubwa itakayokugharimu pale itakapozoeleka. Zawadi ndogo inayoambatana na uhusiano mzuri na mwanao, inaleta mantiki kuliko ukubwa wa zawadi.

Kadhalika, badala ya kujenga mazoea ya kutoa zawadi ya vitu, unaweza kuanzisha mazoea ya kutoa zawadi zisizonunulika. Kwa mfano, unaweza kumpa mtoto pongezi za mdomo zinazoonesha kutambua kilichofanywa; kuwa na wakati mzuri na mwanao nje na nyumbani; kumkumbatia kwa upendo; kumruhusu kuwa na muda na rafiki zake na matendo kama hayo yanayoimarisha uhusiano wenu.

Ifahamike imetolewa kwa sababu gani

Lengo la zawadi ni kukuza tabia inayotarajiwa. Unapompa mwanao zawadi kutambua tabia njema aliyoionesha unamjengea ari ya kufanya vizuri zaidi. Hakikisha mwanao anajua kwa nini umempa zawadi. Zawadi isiyojulikana ina malengo gani haiwezi kumsaidia mtoto.

Kama mwanao amefanya vizuri shuleni na unadhani anastahili motisha, mpe zawadi inayoambatana na ufafanuzi. Kama mwanao ameonesha jitihada za kukuza tabia fulani njema, mpe zawadi kwa maelezo.

Unapohakikisha kuwa mwanao anafahamu kwa nini umempa zawadi, utamfanya awe na ari ya kuendelea kuonesha tabia hiyo kwa matarajio ya kupata zawadi zaidi kwa wakati mwingine.

Iwe na manufaa kwa mtoto

Mpe mtoto zawadi yenye manufaa na itakayomsaidia kujifunza. Kwa mfano, vifaa vya shule kama kalamu, rangi za kuchorea, vitabu, vifaa vya michezo, madaftari, CD za elimu vitakavyomsaidia kujenga uelewa na kukuza vipaji vyake.

Kadhalika, fikiria kumpa mtoto kiasi kidogo cha fedha taslimu atakachowajibika kukitunza. Ingawa jambo hili linahitaji kufanyika kwa tahadhari, lakini humsaidia mtoto kujenga tabia ya kuwa na nidhamu ya fedha mapema.

Itoe wakati usiotarajiwa

Upo ukweli wa kisayansi kuwa wakati tabia mpya inajengwa, unalazimika kuhakikisha kuwa zaiwadi yako inatolewa kila mara tabia hiyo inapojitokeza. Kwa kufanya hivyo, unajenga motisha inayosaidia kumsukuma mtoto kufanya kile kinachotarajiwa.

Hata hivyo, baada ya mtoto kujifunza tabia hiyo mpya, unahitaji kubadili utaratibu. Ukiendelea kuitoa kila mtoto anapoonesha tabia hiyo, zawadi kujenga utegemezi. Badala ya mtoto kujifunza tabia husika, anajifunza kungoja zawadi. Inapokosekana, tabia iliyojengwa hupotea mara moja.

Ni vizuri kuhakikisha kuwa zawadi haifahamiki itatolewa lini. Hakuna sababu ya kumjengea mtoto mazoea ya kupata zawadi nyakati za sikukuu. Kama anahitaji mavazi, mnunulie wakati mwingine wowote. Ukifanya hivyo, hutadaiwa zawadi nyakati za sikukuu zinapowadia.

Fuatilia Jarida la Maarifa ndani ya gazeti la Mwananchi kwa makala kama hizi.

Maoni

 1. Shukrani kwa makala. Ni mada muhimu, na hapo ulipogusia suala la zawadi za manufaa, na ukataja vitabu na vifaa vingine vya elimu, umenikumbusha ujumbe niliowahi kuandika kuhusu vitabu kama zawadi ya siku kuu.

  JibuFuta
 2. Asante sana Prof Mbele kwa kusisitiza umuhimu wa zawadi zinazojenga utamaduni wa kujifunza. Naamini ujumbe wako utawafikia wazazi wengi.

  JibuFuta
 3. thanks for your sharing. i think this article must be share to other people.
  Best regards, http://galeriqq.com

  JibuFuta
 4. Yuk Buruan ikutan bermain di website http://sahabatpoker.poker
  Sekarang SAHABATPOKER Memiliki Game terbaru Dan Ternama loh...
  => Bonus Refferal 15%
  => Bonus Turn Over 0,5%
  => Minimal Depo 20.000
  => Minimal WD 20.000
  => 100% Member Asli
  => Pelayanan DP & WD 24 jam
  => Livechat Kami 24 Jam Online
  => Bisa Dimainkan Di Hp Android
  => Di Layani Dengan 5 Bank Terbaik
  => 1 User ID 8 Permainan Menarik
  "NEW AGEN BANDAR 66"
  Ayo gabung sekarang juga hanya dengan
  mengklick Agen Domino
  PIN BB : 2B13CFD

  JibuFuta
 5. JAGUARQQ AGEN JUDI POKER ONLINE DAN AGEN DOMINO 99 TERPERCAYA DI INDONESIA
  Segera daftar dan bermain di JaguarQQ
  Hanya dengan minimal deposit dan withdraw sebesar Rp.15.000,-
  Anda sudah memiliki kesempatan untuk menangkan hingga jutaan rupiah
  JaguarQQ menyediakan 8 Game dalam 1 User ID diantaranya :
  -Poker
  -AduQ
  -BandarQ
  -Domino QQ
  -Capsa Susun
  -Bandar Poker
  -Bandar Sakong
  -Bandar 66 (NEW)
  Segera Gabung dan Dapatkan Promo Terbesar
  -Bonus Rollingan 0.5% Setiap Minggu nya (diproses setiap hari Jumat)
  -Bonus Refferal 20% Terbesar Seumur Hidup Tanpa Syarat Apapun
  Untuk info lebih lanjut Silahkan hubungi Cs JAGUARQQ:
  LiveChat 24 Jam Online
  PIN BBM : 2AE76E22
  WA : 081319506846
  WEBSITE :www.jaguarqq.poker
  Link Alternatif
  www.jaguarqq.net
  www.jaguarqq.org
  www.jaguarqq.info

  JibuFuta
 6. Susah cari Situs judi online yang bisa di percaya...?
  Mari gabung di AGEN DOMINO
  Bonus Refferal 15%
  Bonus Turn Over 0,5%
  Agen Judi Online Terbesar dan Terpercaya se asia
  Daftar dan buktikan sendiri sekarang juga..
  WHATSAPP : +855967136164
  PIN BB : 2B13CFDA
  PIN BB : E34BB179
  LINE ID : @fjq9439d
  LINE ID : sweetycandys

  JibuFuta
 7. JAGUARQQ AGEN JUDI POKER ONLINE DAN AGEN DOMINO 99 TERPERCAYA DI INDONESIA
  Segera daftar dan bermain di JaguarQQ
  Hanya dengan minimal deposit dan withdraw sebesar Rp.15.000,-
  Anda sudah memiliki kesempatan untuk menangkan hingga jutaan rupiah
  JaguarQQ menyediakan 8 Game dalam 1 User ID diantaranya :
  -Poker
  -AduQ
  -BandarQ
  -Domino QQ
  -Capsa Susun
  -Bandar Poker
  -Bandar Sakong
  -Bandar 66 (NEW)
  Segera Gabung dan Dapatkan Promo Terbesar
  -Bonus Rollingan 0.5% Setiap Minggu nya (diproses setiap hari Jumat)
  -Bonus Refferal 20% Terbesar Seumur Hidup Tanpa Syarat Apapun
  Untuk info lebih lanjut Silahkan hubungi Cs JAGUARQQ:
  LiveChat 24 Jam Online
  PIN BBM : 2AE76E22
  WA : 081319506846
  Link Alternatif :
  www.jaguar99.com
  www.jaguar99.net
  www.jaguar99.org
  www.jaguar99.info

  JibuFuta
 8. NAGAQQ | AGEN BANDARQ | BANDARQ ONLINE | ADUQ ONLINE | DOMINOQQ TERBAIK
  Yang Merupakan Agen Bandarq, Domino 99, Dan Bandar Poker Online Terpercaya di asia hadir untuk anda semua dengan permainan permainan menarik dan bonus menarik untuk anda semua

  Bonus yang diberikan NagaQQ :
  * Bonus rollingan 0.5%,setiap minggunya
  * Bonus Refferal 10% + 10%,seumur hidup
  * Bonus Jackpot, yang dapat anda dapatkan dengan mudah

  * Minimal Depo 15.000
  * Minimal WD 20.000

  Games Yang di Hadirkan NagaQQ :
  * Poker Online
  * BandarQ
  * Domino99
  * Bandar Poker

  Info Lebih lanjut Kunjungi :
  Website : AGEN BANDARQ NagaQQ
  WHATSAPP : +855967014811
  PIN BB : 2B209F68

  DOWNLOAD APLIKASI PKV MOBILE
  DOWNLOAD PKV ANDROID
  DOWNLOAD PKV IPHONE

  JibuFuta
 9. TiketQQ.net Agen Bandarq Domino99 Bandar Poker dan Bandar66 Online Terbaik Di Asia
  * Minimal DEPOSIT Rp 15.000,-
  * Tersedia 8 game dalam 1 USER ID
  * Bonus TO 0,3% Setiap 5 hari
  * Bonus Refferal 15%
  < Contact Us >
  Website : TIKETQQ
  Pin BB : tiket99
  LINE : Tiketqq
  WA : +6281226127740
  FB : TIKETQQ
  Twitter : TIKETQQ

  JibuFuta
 10. TiketQQ*net Agen BandarQ Domino99 Bandar Poker Dan Bandar66
  Online Terbaik Di Asia
  - Dengan Minimal Deposit : Rp 15.000,-
  - Tersedia 8 Game Dalam 1 User ID
  - Bonus Rollingan 0,5% Setiap 5 hari
  - Bonus Referal 20% Seumur hidup
  Nyetornya cukup sekali, nariknya berkali-kali
  TiketQQ*net Agen Bandarq Domino99 Bandar Poker Dan Bandarq
  Online Terbaik Di Asia

  - Kontak Kami -
  PIN BBM : Tiket99
  WA : +855966348165
  LINE : Tiketqq
  Website : TIKETQQ
  FB : TIKETQQ
  Twitter : TIKETQQ

  JibuFuta
 11. TiketQQ.net Agen Bandarq Domino99 Bandar Poker dan Bandar66 Online Terbaik Di Asia
  * Minimal DEPOSIT Rp 15.000,-
  * Tersedia 8 game dalam 1 USER ID
  * Bonus TO 0,5% Setiap 5 hari
  * Bonus Refferal 20%
  < Contact Us >
  Website : TIKETQQ
  Pin BB : tiket99
  LINE : Tiketqq
  WA: +855966348165
  FB : TIKETQQ
  Twitter : TIKETQQ

  JibuFuta
 12. Bingung cari situs judi online yang aman dan terpercaya??
  Mau cari uang tambahan dengan modal kecil ??
  ZodiakPoker adalah salah satu Agen BandarQ Online Terpercaya
  Kini hadir permainan Real Money yang bisa memberikan anda kemenangan
  Hanya dengan Minimal Deposit & Withdraw sebesar Rp.20.000,-
  Anda sudah memiliki kesempatan untuk menang hingga jutaan rupiah!!
  Cobain daftar dan bermain sekarang juga hanya di ZodiakPoker

  JibuFuta
 13. SELAMAT DATANG DI SITUS JUDI ONLINE DAN LIVE CASINO ONLINE TERPERCAYA
  DENGAN MINIMAL DEPOSIT SEBESAR Rp.20.000,- ANDA SUDAH MEMILIKI KESEMPATAN UNTUK MENANGKAN HINGGA JUTAAN RUPIAH

  HANYA MENGGUNAKAN 1 USER ID ANDA BISA MAINKAN 10 JENIS PERMAINAN LIVE CASINO ONLINE SALAH SATUNYA AGEN CASINO SBOBET , DEWACASINO YANG MENYEDIAKAN PERMAINAN CASINO sbb :
  - ION CASINO
  - SBOBET CASINO
  - WM CASINO
  - BG567 CASINO
  - OG CASINO
  - SUNBET CASINO
  - ALLBET CASINO
  - GD CASINO
  - DNA STAR CASINO
  - SEXY CASINO

  SUKMACASINO MENYEDIAKAN BONUS YANG MENARIK BAGI ANDA
  - BONUS NEW MEMBER 10%
  - BONUS CASHBACK 1%
  - BONUS REFFERAL 10%

  AYO BURUAN DAFTAR DAN BERMAIN BERSAMA KAMI HANYA DI SUKMACASINO
  UNTUK INFORMASI LEBIH LANJUT SILAHKAN HUBUNGIN CS LIVECHAT KAMI ONLINE 24 JAM
  PIN BBM : SukmaCasino
  LINE ID : SukmaCasino
  WA : +855-77207833
  FB : SukmaCasino

  JibuFuta
 14. Bingung cari situs judi online yang aman dan terpercaya??
  Mau cari uang tambahan dengan modal kecil ??
  ZodiakPoker adalah salah satu Agen BandarQ Online Terpercaya
  Kini hadir permainan Real Money yang bisa memberikan anda kemenangan
  Hanya dengan Minimal Deposit & Withdraw sebesar Rp.20.000,-
  Anda sudah memiliki kesempatan untuk menang hingga jutaan rupiah!!
  Cobain daftar dan bermain sekarang juga hanya di ZodiakPoker

  JibuFuta
 15. MEJAQQ: AGEN JUDI POKER DOMINOQQ BANDARQ ONLINE TERBESAR DI ASIA

  Yang Merupakan Agen Judi Poker DominoQQ BandarQ Online Terbesar di Asia Hadir Untuk Anda Semua Dengan Games dan Bonus Yang Menarik!

  Bonus yang Kami Berikan di MEJAQQ :
  * Bonus CASHBACK 0,5% (Dibagikan setiap hari Rabu dan Minggu)
  * Bonus REFERRAL 10% + 10% SEUMUR HIDUP (Total kemenangan REFERRAL anda)
  * Minimal Deposit 20,000
  * Minimal Withdraw 20,000
  * 7 Bank Lokal (BCA, BNI, MANDIRI, BRI, DANAMON, CIMB NIAGA, dan PERMATA)
  * Deposit via E-Money, Pulsa XL dan TELKOMSEL
  * 100% Member vs Member
  * Pelayanan Bank dan Livechat 24 jam
  * Tersedia Dalam Aplikasi Android atau IOS.

  Info Lebih Lanjut :
  WA 1 : +85515620767
  WA 2 : +855977507271

  Kunjungi situs kami di :
  MEJAQQ
  BandarQ Online
  Agen BandarQ Online
  Situs BandarQ Online

  BLOGSPOT :
  DUNIA VIRAL
  DUNIA MOVIE
  DUNIA GAME

  JibuFuta
 16. Mau Dapatkan Uang Dengan Mudah...
  Yuk join bersama Rajabandarq, Situs Bandarq, DominoQQ, Poker Online terbaik di asia dengan 9 game yang paling seru...

  Buruan Daftar Disini >>> Daftar Rajabandarq
  Klik Disini : Situs BandarQ
  Klik Disini : Poker Online

  Baca juga :

  - Blogger : 24berita harian
  - Blogger : Kisahselebindo
  - Blogger : myrenew22
  - Blogger : Panduan Bermain Game Judi Online
  - Blogger : Seputar Dunia
  - Wordpress: Cerita 69

  JibuFuta
 17. SahabatQQ: Agen DominoQQ Agen Domino99 dan Poker Online Aman dan Terpercaya
  Website SahabatQQ
  WA 1 : +855887159498
  WA 2 : +855972076840
  Telegram 1 :+85515769793
  Telegram 2 : +855972076840
  LINE : SAHABATQQWIN
  FACEBOOK : SahabatQQ Reborn
  Agen Domino99

  JibuFuta
 18. Kaliteli escort bayanlarla tanışma fırsatı yakalamak için tıkla: ankara escort - ankara escort - ankara escort - izmir escort - ankara escort - ankara escort - ankara escort - ankara escort - ankara escort

  JibuFuta
 19. RelxSlot Adalah Situs Slot Online Terbaik Dengan Deposit Pulsa Tanpa Potongan dan Menerima Deposit Melalui E-WALLET, RelxSlot Pilihan Website Terbaik dan Terpercaya Se-Indonesia di Tahun 2022

  Keuntungan Bergabung dan Bermain di RelxSlot :

  -Minimal Deposit Hanya Rp 5.000
  -Minimal Withdraw Hanya Rp 50.000
  -BONUS DEPOSIT HARIAN Rp.5.000
  -BONUS DEPOSIT MEMBER BARU 20%
  -BONUS TURNOVER MINGGUAN UP to 1%
  -Cashback Mingguan UP to 10% (KHUSUS GAME SPORTBOOK)
  -Dilayani Oleh CS yang Profesional dan Ramah 24 Jam
  -Menerima Via Transfer Dari :
  -Bank Lokal Indonesia
  -Pulsa Tanpa Potongan
  -OVO
  -DANA
  -GOJEK
  -LINKAJA

  Untuk Keterangan Lebih Lanjut Silahkan Langsung Menghubungi Customer Service Kami

  -Telegram : @relxslot08
  -Facebook : @relxslot88
  -Whatsapp : +62 812-6793-0331

  Link Alternatif :

  RELXSLOT
  RELXSLOT.COM - Situs Judi Slot Online Terpercaya
  RELXSLOT.NET - Bandar Judi Pragmatic Slot
  RELXSLOT.ORG - Agen Slot Online Terpercaya
  RELXSLOT.INFO - Situs Agen Live Casino Terbaik

  JibuFuta
 20. RelxSlot Adalah Situs Slot Online Terbaik Dengan Deposit Pulsa Tanpa Potongan dan Menerima Deposit Melalui E-WALLET, RelxSlot Pilihan Website Terbaik dan Terpercaya Se-Indonesia di Tahun 2022

  Untuk Keterangan Lebih Lanjut Silahkan Langsung Menghubungi Customer Service Kami

  -Telegram : @relxslot08
  -Facebook : @relxslot88
  -Whatsapp : +62 812-6793-0331

  Link Alternatif :

  RELXSLOT
  RELXSLOT.COM - Situs Judi Slot Online Terpercaya
  RELXSLOT.NET - Bandar Judi Pragmatic Slot
  RELXSLOT.ORG - Agen Slot Online Terpercaya
  RELXSLOT.INFO - Situs Agen Live Casino Terbaik

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Zijue Tabia Nne za Kiongozi Bora Kazini

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3