Wakubwa wetu huko Ufaransa



Picha hii imechukuliwa kwenye ukumbi wa mijadala wa Jamii Forums ikiwaonyesha watawala wetu walipohudhuria mkutano huko Ufaransa.

Maoni

  1. waswahili walinena, "Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria"

    JibuFuta
  2. Mchoko wa Dowans.....

    JibuFuta
  3. Moja ya Mtazamo:


    Wamevaa suti nzuri kweli !:-(

    JibuFuta
  4. Duuh, heri mimisijasema...!

    JibuFuta
  5. Hivi Waziri Mzima unapolala kwenye mkutano (ambao nauli na per Di Em inalipwa kwa kodi za wananchi) pembeni kabisa mwa bosi wako maana yake nini?

    JibuFuta
  6. akitoka hapo anasaini mkataba......yaliyomo sasa utajiju

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Uislamu ulianza lini?

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Heri ya mwezi mpya!

Ukiigiza Ukatili, Unakaribisha Tabia ya Ukatili

Kikao cha tathmini na mipango ya familia

Pay $900? I quit blogging