Wakubwa wetu huko UfaransaPicha hii imechukuliwa kwenye ukumbi wa mijadala wa Jamii Forums ikiwaonyesha watawala wetu walipohudhuria mkutano huko Ufaransa.

Maoni

 1. waswahili walinena, "Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria"

  JibuFuta
 2. Mchoko wa Dowans.....

  JibuFuta
 3. Moja ya Mtazamo:


  Wamevaa suti nzuri kweli !:-(

  JibuFuta
 4. Duuh, heri mimisijasema...!

  JibuFuta
 5. Hivi Waziri Mzima unapolala kwenye mkutano (ambao nauli na per Di Em inalipwa kwa kodi za wananchi) pembeni kabisa mwa bosi wako maana yake nini?

  JibuFuta
 6. akitoka hapo anasaini mkataba......yaliyomo sasa utajiju

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Pay $900? I quit blogging

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Haiba ni nini?