Mazungumzo na Kamala Luta

Siku chache zilizopita nilipata bahati ya kufanya mazungumzo mafupi na Bw. Kamala Luta, mwanablogu machachari ambaye si mara moja amewahi kuibua mijadala mizito kupitia maoni yake huru ama makala kwenye blogu yake.

Kaa mkao wa kula. Nitayachapisha mazungumzo yake mapema sana namalizia kuweka koma, nukta na funga semi.

Maoni

  1. Mwanzo mzuri! nayasubiri kuyasoma mazungumzo yenu.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Heri ya mwezi mpya!

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Uislamu ulianza lini?

Kikao cha tathmini na mipango ya familia

Huu si udhaifu wa kiume?