Tumkaribishe mgeni jamani!

Nadhani zile makala za Ndesanjo zinafanya kazi kubwa kuliko tunavyodhani. Hatimaye Bw. Albert William ambaye alikuwa Afrika ya Kusini wiki jana katika mpango uitwao "Teaching and AIDS Pandemic" , amekata shauri rasmi. Yeye anasema anapendelea kutumia ung'eng'e zaidi. Kong'ori hapa kumtembelea mgeni kama ilivyo ada.
Mpango huu unafanyika katika Afrika ukilenga kuvunja kimya na kuangalia upya namna ya kupambana na Janga la UKIMWI kwa kuwatumia waelimishaji katika sekta ya elimu "Teacher Educators". Huyu bwana ana mengi ya kusema kuhusu masuala haya ya UKIMWI.

Maoni

  1. Karibu Albert William. Feel at home at it's best. You know sometimes home is boring eeh, doncha?

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Fumbo mfumbie mwerevu

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3