Umemsoma Dambisa Moyo?


Kama una mpango wa kusoma kitabu kimoja tu mwaka huu, napendekeza hiki cha Dambisa Moyo kiitwacho "How the West was Lost". Ukikisoma utaelewa zaidi kwa nini hawa watawala wanaoitwa "The darling of the west" wanaopigana vikumbo kuhudhuria mkutano wa G8, wamepotea njia. Anacho kingine alichokiandika kabla ya hiki, kiitwacho cha Dead End, bado nakitafuta. Naambiwa ni moto.

Maoni

  1. Ahsante kwa kutuhabarisha..je wapi kukipata?

    JibuFuta
  2. @Yasinta nadhani kila duka la vitabu laweza kuwa nacho. Mie nilikipata NAKUMATT, Moshi kwa bei ya 33,000

    JibuFuta
  3. hapa sijaona labda niangalie tena au nisubiri mpaka nitakapofika...

    JibuFuta
  4. Kaka upo,nimepita kukusalimu na kupata habari katika kibaraza chako.

    JibuFuta
  5. Nice blog and article, thanks for sharing. However want to statement on few common issues, The website taste is great, the articles is in point of fact excellent.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Haiba ni nini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Makundi Manne ya Tabia za Watoto Kitabia

Uislamu ulianza lini?