Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)
Katika mchakato wa kuomba ajira baada ya kuona tangazo la kazi, mambo matatu ni dhahiri. Mosi, huombi kazi hiyo wewe mwenyewe. Wapo watu wengi wanaoandika maombi na hivyo kuongeza ushindani wa nani atapata. Pili, nyaraka unazotuma kwa mwajiri mtarajiwa ndizo zinazojenga utambulisho wako kabla wewe mwenyewe hujafahamika. Tatu, afisa mwajiri hatatumia muda mrefu kusoma maelezo yako. Katika hali ya kawaida, atatumia dakika moja kuamua ikiwa amevutiwa na maelezo yako ama la.
Ahsante kwa kutuhabarisha..je wapi kukipata?
JibuFuta@Yasinta nadhani kila duka la vitabu laweza kuwa nacho. Mie nilikipata NAKUMATT, Moshi kwa bei ya 33,000
JibuFutahapa sijaona labda niangalie tena au nisubiri mpaka nitakapofika...
JibuFutaKaka upo,nimepita kukusalimu na kupata habari katika kibaraza chako.
JibuFutaSijambo rasta...karibu
JibuFutaNice blog and article, thanks for sharing. However want to statement on few common issues, The website taste is great, the articles is in point of fact excellent.
JibuFuta