Nakutakieni mapumziko mema ya juma

Poleni na majukumu mazito ya juma zima. Wafanyakazi wa ofisi zote, hongereni sana. Wanaharakati wote, hongera sana. Wanafunzi wote kaza buti. Na wasomaji wote kwa ujumla, amani iwe nanyi nyote.

Naitumia wikiendi hii kudesa pale kwa Prof. Matondo. Dokta mtarajiwa Chahali katuwekea desa muhimu pale. Usikose kupepesa macho pale. Hongera sana Chahali.


Nakupendeni nyote.

Maoni

  1. Asante nakutakia nawe pia. Ni jambo nzuri sana ulilofanya kutakiana mapumziko mema ya juma.

    JibuFuta
  2. Nashukuru sana kaka Bwaya, hakika wikiendi ni njema

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Kikao cha tathmini na mipango ya familia

Huu si udhaifu wa kiume?

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Nuru anakuuliza: "...Sura yako hasa ni ipi?"