Iko siku yote yatawezekana...

Ule mjadala wa kuifufua Jumuiya yetu ulisishia hewani. Bonyeza hapa kuusoma. Na si kwamba nimekata tamaa. Hata kidogo. Ila naamini kuna siku inakuja tutaweza. Kabisa.

Kwa sasa itoshe nikidhani kuwa kipo kisichokuwepo.

Maoni

 1. Bwaya habari,sijakuelewa hapa kabisa,naomba ufafanuwe tafadhali mkuu.  Rasta hapa.

  JibuFuta
 2. Sijambo Rasta.

  Sina hakika hujaelewa wapi. Ungekuwa wazi zaidi ungenisaidia kukujibu vizuri zaidi.

  Ila, kijumla jumla ninachokiona mimi kuhusu ufufuaji wa Jumuiya yetu ni kwamba kipo ambacho pengine hatukijui lakini ndicho hasa kinachokosekana.

  NItakujibu vizuri ukifafanua swali lako Rasta.

  JibuFuta
 3. Kaka Bwana nakusifu kwa kuwa na moyo ya kutaka kuwa Jumuiya ifufuke

  JibuFuta
 4. nitaanzisha jumuiya nyingine nakuwalazimisha kuwa wanachama tu

  JibuFuta
 5. Rasta why dont you get things more open?

  JibuFuta
 6. Kwa sasa itoshe nikidhani kuwa kipo kisichokuwepo.  rasta hapa

  JibuFuta
 7. Big kaka Bwaya. Tuifanye ifufuke.

  JibuFuta
 8. Hujambo Bwaya?
  Kuna kazi inakusubiri. Pitia kwangu kwa maelezo.
  Serina.

  JibuFuta
 9. Mlaumiwa naikia na unaweza usiamini lakini nafanyia kazi hii kitu! Na ingekuwa ni swala binafsi ningeshalimaliza miaka kadhaa iliyopita.

  Lakini unafikiri kama wanajumuiya wapo kwa nini unawasiwasi na jumuiya kujengeka?

  JibuFuta
 10. mkuu huwa na pita na speed kali..usifikiri upo peke yako tupo pamoja kaka..siku njema

  tutafika tu

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Fumbo mfumbie mwerevu

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3