Kutoka maktaba: Laana? Ama?

Haya nikurudishe nyuma kidogo. Twende kwenye kumbukumbu zetu. Soma makala hii: Hivi waafrika ni kweli tumelaaniwa? Kumbuka sikuwa nimehitimisha. Nilikuwa katika tafakari tu. Usinielewe vibaya kama baadhi ya watu wengine walivyofikiri. Soma katikati ya mistari.

Maoni

  1. wamelaaniwa wote walioacha utamaduni wao na kukumbatia wa wakoloni.

    biblia ina haki ya kutulaani kwa sababu sio yetu. biblia inamweita Mungu wa Israeli!!!!!!!!!! sio wa Tanzania.

    sijui sana kama Waafrica hatujaendelea, nadhani tmeendelea sana na ndio Maana hatuchangii katika uchafuzi wa Mazingira na tabaka la Ozone!

    JibuFuta
  2. Kamala mchango wako unanitafakarisha. Asante sana kwa changamoto zako kama kawaida.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Pay $900? I quit blogging

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Uislamu ulianza lini?