Fahamishwa na nifahamishe.com

Kuna tovuti mpya inatangazwa. Nimeipitia. Ina kiingereza na kiswahili. Kwa mujibu wa waendeshaji wake, tovuti hiyo imebeba mambo mengi ya kukuhabarisha ndugu msomaji.

Wanayataja: "Habari mbali mbali za Tanzania na za kimataifa, Habari katika picha na video, Live radio, Online Game, Habari za burudani na wasanii wa bong, Utaweza kusikiliza nifahamishe nonstop bolingo na lingala mix, Kuuza kwa kuweka tangazo lako bure au kununua nyumba, magari, vitu vya electronics na kadhalika, Kushare picha na watanzania duniani na kadhalika".

Gonga hapa kuwatembelea ujionee mwenyewe.

Maoni

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Haiba ni nini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Uislamu ulianza lini?

Makundi Manne ya Tabia za Watoto Kitabia