@Fadhy: Aliekisoma anasemaje, Wenzetu? Kweli tutatajirika tukikisoma? Au tutakuwa Shetani kabisa? Maana yake hua nikisoma vitabu vya dini fulani "Babylon" inafananishwa na sehemu au ulimwengu wenye dhambi zote.
Ninachokifurahia hapa ni kwamba niko katika kundi la akinaProf Mbele, Simon Kitururu, M3 na wengine kabisa (MEN AND WOMEN OF LETTERS) ambalo BADO TU KuSOMA KITABU HICHO!
Hiki ndio kwanza nakisikia hapa. Huenda tuko wengi. Shukrani kwa kutuongezea upeo.
JibuFutaHata mimi sijakisoma, labda tukitafute...!
JibuFutamie nimekisoma. Nilikipata Machi 09 mwaka jana hapa hapa jijini Dar.
JibuFutaMie niliwahi kukisikia lakini sijawahi kukiweka machoni!:-(
JibuFutaVipi kinaeleweka au mambo zake kwa mbongo ni alinacha?
@Fadhy: Aliekisoma anasemaje, Wenzetu? Kweli tutatajirika tukikisoma? Au tutakuwa Shetani kabisa? Maana yake hua nikisoma vitabu vya dini fulani "Babylon" inafananishwa na sehemu au ulimwengu wenye dhambi zote.
JibuFutaNinachokifurahia hapa ni kwamba niko katika kundi la akinaProf Mbele, Simon Kitururu, M3 na wengine kabisa (MEN AND WOMEN OF LETTERS) ambalo BADO TU KuSOMA KITABU HICHO!
Nasema "kifo cha wengi harusi".