Uislamu ulianza lini?
YAMEKUWEPO madai kwamba Uislam ulianza tangu kuumbwa kwa dunia. Na wapo watu wanaotuaminisha hayo. Ukweli ni kwamba Uislam ulianzishwa na Nabii Muhammad mwaka 622 BK huko Arabia. Kabla yake, dini zilizokuwepo zilikuwa ni Uyuda ambayo ni dini rasmi ya Wayahudi (Judaism) na Ukristo ambayo ni dini ya mataifa wasio Wayahudi ulioanza miaka kadhaa baada ya Yesu kuwa ameondoka mwaka 33BK. Yesu mwenyewe hakuanzisha Ukristo. Alisali katika misikiti ya Wayahudi. Masinagogi. Maelezo haya yana msingi wa kistoria na sio propaganda za kidini. Ndio ni propaganda kwa sababu dini zote zimekuwa na tabia ya kuonyesha kwamba zenyewe ndizo za kweli kuliko dini nyinginezo hata ikibidi kwa kuichezea historia. Na ni bahati mbaya kwamba Dini zimekuwa na tabia ya kufanana ya kuzima uwezo wa waumini wake kuhoji lolote kwa kuwajengea hofu ya kujitafutia laana. Qur’an inatupa maelezo yanayokinzana kuhusu lini hasa Uislamu ulianza. Baadhi ya mistari katika kitabu hicho zinadai kwamba ‘nabii’ Muhammad ndiye ...

hahahaha kazi kwelikweli!
JibuFutaUnafikiri yaani ni kaaaaziii kwelilweli:-)
JibuFutaMwanzo mgumu, siyo? Hasa katika masuala ya UJAMAA!
JibuFutaLabda tuchunguze zaidi kuhusu jinsi tunavyohusiana na hao ndugu zetu: wakoloni wa kale kama Wingereza, Ujerumani na wenginevyo.
Maana yake huwezi ukiwa CCM ukaendesha kwa mafanikio siasa za ujamaa na kujitegemea wakati huku unaendelea kufurahia "msaada" kutoka nchini za mabepari hususan zile ambazo ziliyekuwa zinamkandamiza Mwafrika enzi za ukoloni.
Suali kwenu Mabwana Fede na Bwaya:
"Je, tunapata mafunzo gani kutoka huko Zimbabwe?"
http://news.xinhuanet.com/english2010/china/2011-02/12/c_13728225.htm
sasa hapa kilipo chama tajwa kipo katika hatua ipi kati ya hizo hapa juu?
JibuFutaHa ha ha haaa , utani mwingine bwana!!!
JibuFutanice blog
JibuFutathanks you for sharing
JibuFutai like it this blog
JibuFuta