Katuni husema vingi! Tazama hii.Kazi ya mchora katuni, Fede wa http://artsfede.blogspot.com

Maoni

 1. hahahaha kazi kwelikweli!

  JibuFuta
 2. Unafikiri yaani ni kaaaaziii kwelilweli:-)

  JibuFuta
 3. Mwanzo mgumu, siyo? Hasa katika masuala ya UJAMAA!

  Labda tuchunguze zaidi kuhusu jinsi tunavyohusiana na hao ndugu zetu: wakoloni wa kale kama Wingereza, Ujerumani na wenginevyo.

  Maana yake huwezi ukiwa CCM ukaendesha kwa mafanikio siasa za ujamaa na kujitegemea wakati huku unaendelea kufurahia "msaada" kutoka nchini za mabepari hususan zile ambazo ziliyekuwa zinamkandamiza Mwafrika enzi za ukoloni.


  Suali kwenu Mabwana Fede na Bwaya:


  "Je, tunapata mafunzo gani kutoka huko Zimbabwe?"


  http://news.xinhuanet.com/english2010/china/2011-02/12/c_13728225.htm

  JibuFuta
 4. sasa hapa kilipo chama tajwa kipo katika hatua ipi kati ya hizo hapa juu?

  JibuFuta
 5. Ha ha ha haaa , utani mwingine bwana!!!

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Pay $900? I quit blogging