Blogu mpya nyingine



Sogea karibu usome blogu ya Ndugu Renatus Kiluvia. Yeye ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini kwa sasa yuko kwenye studio ndogo ya Dar.

Kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe, blog hiyo inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti. Pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k.



Bonyeza hapa upate kila kitu.

Maoni

  1. MWANAFUNZI WA ROYAL COLLEGE enzi zileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee anapenda sna muziki huyu jamaa akiwa na rafiki yake JUNEIDY au EZDENY JUMANNE. KARIBU NDANI RENATUSI

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Heri ya mwezi mpya!

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Uislamu ulianza lini?

Strictly gospel na mijadala ya kiimani