Tangazo la Mkutano Mkuu wa Uanahabari wa Kiraia wa Global Voices 2010

Global Voices Citizen Media Summit 2010 - Santiago, Chile. May 6-7

Mkutano wa wanablogu wa Global Voices, utafanyika Mjini Santiago mwezi Mei tarehe 6 na 7 mwaka huu. Nimezipata habari hizo kupitia ukurasa wa kiswahili wa mradi wa Lingua Swahili.

Nimetamani kama na sisi tungekuwa tunapanga kukutana siku fulani mwaka huu! Inawezekana! Ni muhimu tuanze kufikiri kukutana uso kwa uso hata kama matanga ya ile Jumuiya yetu hajapita bado.

Maoni

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Uislamu ulianza lini?

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Unaona nini kwenye picha hii?

Pay $900? I quit blogging

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Huu si udhaifu wa kiume?