Zimebaki siku tano...

Tarehe kumi na nane mwezi huu ni siku ya maadhimisho ya wanablogu. Tukumbushane kushiriki. Mambo kama haya yasionekane madogo kihivyo. Yanatunganisha. Tujiandae.

Maoni

  1. Asante kwa kunikumbusha nitajaribu kuwa hewani

    JibuFuta
  2. Ahsante kwa taarifa hizi muhimu.
    Je wadau wanakutana wapi? na je kutakuwa na matukio gani?

    JibuFuta
  3. Tunakutania mtandaoni kubadilishana mawazo kaka

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Uislamu ulianza lini?

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Unaona nini kwenye picha hii?

Pay $900? I quit blogging

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Huu si udhaifu wa kiume?

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1