Take the Risk cha Ben Carson



Ndio kwanza nimeanza kukisoma. Take the Risk: learning to identify, Choose and Live with accepatable Risk. Kimeandikwa na Mganga Ben Carson kwa msaada wa Gregg Lewis na kuchapishwa na Zondervan Publishing House mwaka 2008.

Kitabu kinaanza na masimulizi ya upasuaji mgumu uliofanyika Julai 2003 kuwatenganisha Ladan na Laleh, mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya vichwa vyao. Mapacha hao hata hivyo walifariki dunia wakiwa na umri wa miaka 29 wakati upasuaji huo ukiendelea huko Singapore. Katika kitabu hiki, mwandishi anajaribu kutupatia somo lilitokana na Upasuaji huo.


Ladan na Laleh raia wa Iran muda mfupi kabla ya upasuaji huo uliofanyika Julai 2003.

Maoni

  1. ahsante sana kaka Bwaya kwa kunifanya nifahamu kuwa Ben keshatoa kitabu kingine. nitakisaka wikend hii

    JibuFuta
  2. Safi wakuu, soma ujue na uelimike, hivi , nani rafiki asiyemchoyo kama kitabu?

    JibuFuta
  3. Fathy, kitafute ukisome. Kinasisimua.

    Emu Three umesema kweli. Vitabu havina uchoyo!

    JibuFuta
  4. Natamani ningekuwa na muda wa kusoma vitabu vingi, lakini mgawanyo wa kazi huu duh!

    JibuFuta
  5. Dk. Chib, Ben Carson ndio saizi yako haswa!

    JibuFuta
  6. hicho kitabu kinapatikana wapi?

    JibuFuta
  7. kaka habari za siku asante nimefanikiwa bwana

    JibuFuta
  8. Hongera sana kijana. Kaza mwendo!

    JibuFuta
  9. good sharing information. thanks

    JibuFuta
  10. thanks for sharing good information

    JibuFuta
  11. i like it this blog and article

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Haiba ni nini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Makundi Manne ya Tabia za Watoto Kitabia

Uislamu ulianza lini?