Mwisho wa mwaka SingidaHapa ni sehemu ya mji wa Singida kama ilivyokuwa Krismas ya mwaka huu.

Wengine ni Bw. Albert William, mhadhiri msaidizi DUCE (huyu aliwahi kublogu hapa miaka kadhaa iliyopita, bila shaka atarejea tena. Mwingine ni mkewe Krissie, mtafiti wa bayoteknolojia, Mlimani aliyewahi kublogu hapa na kuitelekeza blogu hiyo kwa muda. Na huyo mwingine (mwenye kaki) ni kilaza, mimi.

Maoni

 1. Duh! kaka Bwaya karibu tena kwani umemissiwa kweli.N aheri sana kwa mwaka mpya.

  JibuFuta
 2. Ah Christian,kama nilijua hizi picha zitafika wapi.si nnilikupa onyo mwana husikii mama asemayo????

  JibuFuta
 3. Krissie, kuna vingi nilionywa lakini nikavifanya, ajabu matokeo yake yakawa mazuri. Kama hivi...nadhani sasa umerudi rasmi kwenye blogu sio?

  JibuFuta
 4. blogging kunawafaa akina nyie

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Pay $900? I quit blogging

Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?