Je,nini hasa kinachoongoza mwenendo na tabia yako?

Umewahi kufikiri ni kitu gani hasa kinachoyaongoza maisha yako na namna unavyotekeleza matakwa yako? Kitu gani hasa ambacho ndicho unachoweza kukitaja kwa hakika kwamba ndicho kinachokuongoza.
Je, ni mafundisho ya dini yako?
Je, ni mtizamo wa watu wanaokuzunguka pamoja na utamaduni wao?
Je, ni mambo unayojifunza kwa kuyasoma ama kutazama?
Je, ni mtizamo wako/falsafa binafsi?
Au ni kitu usichokijua?

Nauliza tu. Jielewe.

Maoni

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Unaona nini kwenye picha hii?

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Kikao cha tathmini na mipango ya familia

Huu si udhaifu wa kiume?

Nuru anakuuliza: "...Sura yako hasa ni ipi?"