Ubuddha: Miungu hufa na haistahili sadaka

Tuendelee na vidokezo kuhusu dini zetu tukiangazia dini zinazopatikana katika bara la Asia. Baada ya kuangalia Uhindu, sasa bonyeza hapa kusoma maelezo mafupi kuhusu Ubuddha, dini inayoamini kuwa kuishi ni kuteseka na kwamba ni muhimu kujikomboa kutoka katika mateso ambayo humpata kila binaadamu. Wa-Buddha wanaamini kuwa kuna miungu, lakini wakiamini kuwa miungu hiyo hufa kama viumbe wengine, na kwamba miungu hiyo haihusiki kwa namna yoyote na mambo ya uumbaji wa ulimwengu huu, kwa hivyo haistahili kuombwa wala kupewa sadaka.

Maoni

  1. Si kweli. Mimi ni M-Buddha na siamini kuwa kuna miungu. Kuna mtu ambaye ataitwa Buddha, ndiyo yeye atafa. Mtu ye yote anaweza kusiri Buddha.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Pay $900? I quit blogging

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Namna ya kukopeshwa kirahisi na kuchangiwa michango ya harusi na marafiki