Uamuzi wa Kuachana na Blogu
![]() |
Mkutano wa Global Voices, mtandao wa wanablogu, uliofanyika Cebu, Ufilipino, 2015 PICHA: Global Voices |
Nilianza kublogu katikati ya
mwaka 2005. Wakati huo ilikuwa nadra kusikia mtu anaongelea blogu. Ndesanjo Macha ndiye hasa aliyenifanya nikavutiwa kuanza kublogu. Wakati huo alikuwa mwandishi wa safu ya Gumzo la Wiki iliyochapishwa na
gazeti la Mwananchi kila Jumapili.
Historia ya blogu hapa nchini haikamiliki bila kumtaja Ndesanjo Macha. Kimsingi, Ndesanjo ndiye mwanablogu wa kwanza kublogu kwa Kiswahili. Huo ulikuwa mwaka 2004. Nilipata bahati ya kukutana
naye mara mbili kwenye mikutano ya waandishi wa kiraia kupitia mtandao wa wanablogu uitwao Global Voices.
Mara ya kwanza ilikuwa jijini Nairobi, 2012. Mara ya pili ikatokea jijini Cebu,Ufilipino, 2015.
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nahudhuria mkutano wa wanablogu uliofanyika Santiago de Chile, nilistushwa na masimulizi ya baadhi ya washiriki waliokuwa wakiongelea 'kuminywa kwa uhuru wa kujieleza kwenye nchi zao.' Habari hizo za blogu kuleta 'usumbufu' katika baadhi ya nchi hazikuniingia akilini. Nilishangaa inawezekanaje ‘vijiblogu’ viwe tishio kiasi kile hasa kwa sababu hapa kwetu nilizichukulia blogu kama jukwaa la kuelimishana. Nayakumbuka majina ya Jeff Msangi, Evarist Chahali, Prof. Joseph Mbele, Prof.Masangu Matondo, Boniface Makene, John Mwaipopo, Fadhy Mtanga na wengine ambao kila ukipitia blogu zao, ilikuwa ni sawa na kushinda Maktaba ukifyonza maarifa.
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nahudhuria mkutano wa wanablogu uliofanyika Santiago de Chile, nilistushwa na masimulizi ya baadhi ya washiriki waliokuwa wakiongelea 'kuminywa kwa uhuru wa kujieleza kwenye nchi zao.' Habari hizo za blogu kuleta 'usumbufu' katika baadhi ya nchi hazikuniingia akilini. Nilishangaa inawezekanaje ‘vijiblogu’ viwe tishio kiasi kile hasa kwa sababu hapa kwetu nilizichukulia blogu kama jukwaa la kuelimishana. Nayakumbuka majina ya Jeff Msangi, Evarist Chahali, Prof. Joseph Mbele, Prof.Masangu Matondo, Boniface Makene, John Mwaipopo, Fadhy Mtanga na wengine ambao kila ukipitia blogu zao, ilikuwa ni sawa na kushinda Maktaba ukifyonza maarifa.
Kwangu mimi, nilianza kublogu kama burudani. Nilipenda kujieleza kupitia maandishi kwa hivyo blogu ikawa jukwaa muafaka la kuandika yale niliyokutana nayo kwenye pilika zangu za kila siku, niliyoyasoma kwenye vitabu na hata mambo niliyokuwa nikijifunza
darasani. Kwa hiyo niliichukulia blogu kama uwanja wa kujieleza bila kuingiliwa na mtu.
Miaka michache baadae, mwaka 2009, blogu ikanikutanisha na Global Voices. Hapo mambo yakaanza kubadilika. Nikakutana na watu mbalimbali duniani kupitia kijiblogu changu ambacho, hata hivyo, hakijawahi kuniingizia hata senti.
Miaka michache baadae, mwaka 2009, blogu ikanikutanisha na Global Voices. Hapo mambo yakaanza kubadilika. Nikakutana na watu mbalimbali duniani kupitia kijiblogu changu ambacho, hata hivyo, hakijawahi kuniingizia hata senti.
Kwa muda wote wa zaidi ya
muongo mmoja wa blogu nimejifunza kuwa blogu ni shule isiyolipiwa chochote. Blogu ni darasa la bure. Unapokuwa mwanablogu, huwi mwalimu pekee bali mwanafunzi wa wasomaji wako. Kila
nikipitia makala zilizowahi kuandika tangu nikiwa kinda, mwaka 2005, ninakuwa mithili ya mtu anayejitazama anavyokua hatua kwa hatua. Uelewa wangu, mtazamo wangu, mawazo yangu, namna
yangu ya kuwasilisha kile ninachojifunza imeendelea kubadilika kadri ninavyojadiliana na watu mbalimbali kupitia blogu.
Hata hivyo, shughuli ya kublogu
si nyepesi. Hata kidogo. Inahitaji moyo na uvumilivu. Wengi tulioanza
kublogu nao katikati ya miaka ya 2000, waliachana nazo muda mfupi baadae.
Nawaelewa. Hata mimi kuna nyakati ninashindwa kuandika. Lakini siku zote faraja ninayoipata ni kuona ninachangia maudhui mtandaoni. Nafarijika
kwa sababu ninahudumia kundi kubwa la wananchi wanaotumia mtandao kujifunza.
Kwa kutambua kuwa wananchi hawa wengi wao hawajui Kiingereza kinachotumiwa zaidi mtandaoni, nilichagua kublogu kwa Kiswahili wanachokielewa. Nimekuwa nikiichukulia blogu yangu kama huduma kwa wananchi. Hilo limekuwa muhimu zaidi kwangu kuliko kuifanya blogu kuwa ‘kiamba’ cha kuniingizia fedha.
Kwa kutambua kuwa wananchi hawa wengi wao hawajui Kiingereza kinachotumiwa zaidi mtandaoni, nilichagua kublogu kwa Kiswahili wanachokielewa. Nimekuwa nikiichukulia blogu yangu kama huduma kwa wananchi. Hilo limekuwa muhimu zaidi kwangu kuliko kuifanya blogu kuwa ‘kiamba’ cha kuniingizia fedha.
Kazi hii, isiyoniingizia hata shilingi mia, imenikutanisha na maelfu ya wasomaji. Hawa ni watu wenye kutafuta maarifa mtandaoni kwa sababu wanaweza angalau kumudu kujiunga na 'kifurushi' kupitia simu zao za kiganjani.
Inawezekana hawawezi kununua magazeti kama mimi. Hawawezi kununua vitabu kama mimi. Pengine wanapotazama televisheni na radio wanakutana na mazungumzo yasiyokidhi mahitaji yao. Hawa, kwa kweli, wanahitaji watu wanaojitolea muda na raslimali zao kuweka maudhui mtandaoni. Mamlaka zinapaswa kuliona hili.
Miaka zaidi ya 10 niliyoblogu, karibu kila siku, ninasoma ujumbe wa watu nisiowafahamu. Wengine wanahitaji ushauri kuhusu yale ninayoyaandika. Hawa wote wanajikuta kwenye blogu yangu kupitia aina ya maudhui wanayoyatafuta mtandaoni. Kama mwalimu, hili linanipa faraja sana kuwa kazi yangu ya blogu inafikia watu wengi.
Nikifikiri hayo yote, nashindwa kuelewa mantiki ya serikali kutaka nianze kulipa kodi kwa sababu tu niliamua kuchangia maudhui yanayowasaidia vijana kujifunza mambo yanayowahusu. Sielewi kwa nini nitozwe milioni mbili kwa sababu tu niliamua kutumia muda wangu na raslimali zangu kuelimisha jamii bure.
Kama suala ni kukusanya kodi, pengine ingeleta maana kuwalenga wale waliozigeuza blogu kuwa vyanzo vya mapato. Lakini kuweka sharti la kila mwanablogu –bila kujali anaitumiaje blogu yake –kulipa kodi, ni suala linalofikirisha. Tena sana. Kuna sentensi nyingi nimeziandika na kuzifuta hapa lakini itoshe tu kusema, ujumbe umetufikia. Tumewaelewa. Kwa hiyo ninaacha kublogu kupinga uamuzi huu.
Kama suala ni kukusanya kodi, pengine ingeleta maana kuwalenga wale waliozigeuza blogu kuwa vyanzo vya mapato. Lakini kuweka sharti la kila mwanablogu –bila kujali anaitumiaje blogu yake –kulipa kodi, ni suala linalofikirisha. Tena sana. Kuna sentensi nyingi nimeziandika na kuzifuta hapa lakini itoshe tu kusema, ujumbe umetufikia. Tumewaelewa. Kwa hiyo ninaacha kublogu kupinga uamuzi huu.
Ninablogu pia ambayo kimsingi sikuianzisha kwa kutengeneza pesa, nilianzisha kama sehemu ya mchango wa kuwa na maudhui ya mtandao nchini. Vitu ninavyoandika ni maisha ya kila siku na vitu nivyojifunza kupitia kusoma na kukutana na watu. Serikali kuniambia nitoe 2M kwa kitu ambacho haniingizii pesa bado sijaelewa dhumuni lake.
JibuFutaHongera kwa kazi nzuri, inasikitisha kwamba kubanwa kwa uhuru wa kujieza kunafanya vijana waliokuwa wanajifunza kutoka kwako kukosa mwalimu.
Maoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaPole sana kaka. Mimi pia ni blogger (lakini bado mchanga sana, nilianza 2016) na kiukweli nimekatishwa tamaa sana na uamuzi wa serikali kututoza kodi, nimekata tamaa kabisa. Nilianza kibadilisha "passion" yangu ya ku-blog kuwa ajira yangu lakini kwa hali hii siwezi kufanya chochote, nashindwa hata kufuata "posting schedule" yangu! Inauma sana.... (https://www.mogriculture.com)
JibuFutaCari BANDAR JUDI TERBAIK yang aman dan terpercaya ?
JibuFutaSolusinya hanya di sahabatpoker
Bonus Refferal 15%
Bonus Turn Over 0,5%
Hanya dengan minimal deposit 20ribu sudah bisa bermain 8 game sekaligus lohh..
"NEW AGEN BANDAR 66"
Ayo daftar dan gabung sekarang juga,,
WHATSAPP : +855967136164
PIN BB : 2B13CFDA
PIN BB : E34BB179
LINE ID : @fjq9439d
LINE ID : sweetycandys
http://sahabatpk99.com
http://sahabatpk99.net
http://sahabatpk99.info
http://sahabatpk99.org
Bonus Welcome New Member 15% Untuk Semua Permainan
JibuFuta- Bonus Dapat di Claim Seluruh Permainan di Situs BVGaming Kecuali Poker.
- Untuk Claim Bonus Welcome New Member Minimal Deposit 200.000
- Maksimal Bonus Dapat Di Claim Adalah 1.000.000
- Bonus Dapat Langsung Claim Melalui Sistem Ketika Isi Form Deposit.
- Syarat Withdraw Adalah Mencapai Turnover x10 Dari Nominal Deposit & Bonus
Contoh : Deposit 1.000.000 + Bonus 150.000 = 1.150.000 x 10 = 11.150.000
- Jika Tidak Mencapai Turnover, Maka Withdraw Tidak Dapat Dilakukan.
- Tidak Dapat Digabungkan dengan Promo Rollingan & Cashback & Pindah Jenis Permainan Lain.
- Tidak diperbolehkan double bet (bet kanan & kiri atau over-under dalam 1 pertandingan)
- Bonus tidak berlaku jika terdapat persamaan IP address, nama rekening, no tlp dan email dengan member lain yang sudah terdaftar.
- Pihak BVgaming Berhak Membatalkan Bonus Apabila Mendapati Kecurangan.
Ayookkk banyak permainan slot di situs online judi kami dan terjamin sudah resmi
Untuk informasi selengkapnya mari hubungin CS kami di BVGaming (24 jam online)
WhatsApp: 0812 1495 2061
เว็บ สล็อต ออนไลน์อันดับ 1 ในทวีปเอเชีย เป็นเว็บออนไลน์ ที่ดีเยี่ยมที่1ของไทย พีจี สล็อต ระบบน่าไว้วางใจ เล่นได้ จ่ายจริง ไม่มีต่ำ ฝาก-ถอน เร็วทันใจเล่นง่ายไม่ยุ่งยาก ทำเงิน ได้จริง
JibuFutaSabung Ayam Online: Sensasi Taruhan Tanpa Batas!
JibuFutaDaftar sekarang dan rasakan keseruan bertaruh di platform terbaik. Bonus deposit dan cashback menanti!
Jangan Cuma Jadi Penonton, Jadilah Pemenang!
Sabung ayam online memberikan kesempatan untuk meraih keuntungan besar. Yuk, bergabung dan buktikan skillmu!
Raih Kemenangan Besar dengan Ayam Jagoanmu!
Bergabunglah di arena sabung ayam online terpercaya dan nikmati berbagai promo menarik. Jadilah juara!
Sabung Ayam Online: Tempatnya Para Petarung Sejati!
Nikmati sensasi taruhan yang seru dan menegangkan. Daftar sekarang dan raih kemenanganmu!
Ayam Jagoanmu, Juara di Setiap Pertarungan!
Ayo, tunjukkan kehebatan ayam jagoanmu di arena sabung ayam online. Bonus dan hadiah menarik menanti!
JADI TUNGGU APALAGI SEKARANG JUGA PASANG TARUHAN KAMU!!!
BURUAN SEKARANG JUGA JOIN BERSAMA KAMI
GABUNG SEKARANG DI NAGA169 DAN RAIH KEMENANGANMU!
MODAL RECEH SUDAH BISA MERAIH HINGGA JUTAAN
JANGAN SAMPAI TIDAK DAPAT BONUS MENARIKNYA DISINI
RAIH KEUNTUNGAN YANG BANYAK DISINI
MAIN TEMBAK IKAN DISINI BERSAMA KAMI!
DENGAN MODAL RECEH SUDAH BISA BERMAIN
BURUAN JANGAN SAMPAI KETINGGALAN BONUS DISINI!!!
MASALAH BONUS JANGAN DIRAGUKAN LAGI BOSKUU!!!
SINI MAIN BERSAMA KAMI KALAU MAU CARI KEUNTUNGAN YANG BANYAK
MAINKAN BERBAGAI PERMAINAN YANG BISA MENGHASILKAN CUAN YANG BANYAK HANYA DISINI
HANYA DIWEBSITE YANG SAYA SEDIAKAN KAMU BISA MERAIH CUAN YANG BANYAK
SINI MAIN BERSAMA KAMI BIAR TAU ENAKNYA DISINI HANYA BERSAMA KAMI NAGA169
BURUAN JOIN SEKARANG JUGA , JANGAN TUNGGU LAGI
SINI SAYA KASIH SOLUSI KEMENANGAN BUAT KAMU , JOIN DULU SEKARANG JUGA
MAMPU MENANG BERAPAPUN AKAN KAMI BAYAR
MAKANYA JANGAN ASAL" CARI WEBSITE , WEBSITE KAMI LEBIH COCOK BUAT KAMU YANG CARI CUAN DENGAN SEKEJAP
AMBIL KEUNTUNGAN KAMU DALAM SEKEJAP DISINI
KHUSUS UNTUK KAMU CARI CUAN DALAM WAKTU SINGKAT!
BELUM PUNYA AKUN ?? SAYA BISA BANTU KAMU DAFTARKAN
UNTUK NEW MEMBER AKAN DAPAT BONUS YANG MENARIK
CUMA BUTUH 1 AKUN SUDAH BISA BERMAIN SEMUA GAME
PROMO DEPO PULSA - VIA DANA GOPAY OVO JAGO LINKAJA
MASIH BISA MENGGUNAKAN BANK LAINNYA LAGI
HANYA DI > NAGA169
SPECIAL BONUS BUAT KAMU :
*BONUS REWARD UNTUK SEMUA MEMBER AKTIF NAGA169
*ROYALITY MINGGUAN MEMBER NAGA169
*BONUS 10RB DOWNLOAD APK NAGA169
*Bonus Deposit Setiap Hari Live Casino 10%
*Bonus New Member Sportsbook 10%
*Bonus Win Strike 6x & 10x Up To Rp 1.000.000
*Bonus Member Baru Slot Games 100%
*BONUS ABSENSI MEMBER AKTIF NAGA169
*BONUS REFFERAL BULANAN NAGA169
*BONUS NEW MEMBER FIRST DEPOSIT 100%
*BONUS HAPPY HOUR - NAGA169
*HADIAH DISKON TOGEL ONLINE TERBESAR & PASARAN TERLENGKAP
*BONUS ROLLINGAN MINGGUAN UP TO 0.7%
*BONUS CASHBACK MINGGUAN
LINK DAFTAR VIP & PROMO MENARIKNYA => DAFTAR AKUN SABUNG AYAM
ATAU
HUBUNGI KAMI > +62 877-6118-7591