Unaionaje Dublin kupitia jicho langu?
Leo nimepata bahati ya kutembea kidogo katika jiji la Dublin.
![]() | |||||||
| Gari linalotumika kumwezesha mgeni kusafisha macho. Picha: @bwaya |
![]() |
| Majengo ya zamani yanayovutia. Picha: @bwaya |
![]() |
| Mitaa yenye majengo yanayoitwa ya 'King George' wa Uingereza. Ireland ilikuwa koloni kwa miaka mingi. Picha: @bwaya |
![]() |
| Mto katikati ya Dublin. Picha: @bwaya |
![]() |
| Mavazi ya wa-Irish Picha: @bwaya |
![]() |
| Magogoni ya Ireland. Picha: @bwaya |






Maoni
Chapisha Maoni