Vitabu Uarabuni



Saa nyingine si vibaya kupitia maeneo haya. Ingawa kuna gharama zake.







/>


Kwa tusiopenda kazi, ikawa rahisi sana kuona kitabu cha aina hii:



Lakini pia si vibaya saa nyingine kujua imani za watu zinavyosemwa na wasio ndani:



Hata hivyo, hiyo ikatosha kuwa ni zawadi ya Uarabuni.

Maoni

  1. Kaka bila shaka Uarabuni kumependeza sana. Vitabu ndo ugonjwa wangu.

    Kila la kheri kaka.

    JibuFuta
  2. vitabu nilianza kujua neno kitabu nilipokuwa na miezi 10. Nyumba yetu ilikuwa ni kama maktaba. na sasa ndo zaidi. Ahsante kwa hili.

    JibuFuta
  3. Nuru Shabani5/6/10 8:31 PM

    Kaka umenitamanisha sana manake kusoma vitabu ndiyo ugonjwa wangu. Natumai utatuletea zawadi ya vitabu.

    JibuFuta
  4. swali zuri, nani ni vigumu kuwamini kuwa uislamu hauna chombo cha kimataifa cha kuusemea kama papa kwa ukristo

    JibuFuta
  5. je twavipataje? Bwana karibu kwangu.
    Kamili

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Haiba ni nini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Makundi Manne ya Tabia za Watoto Kitabia

Uislamu ulianza lini?