Public victory: Tatizo letu baya


Ninaendelea kukisoma kitabu cha Stephen Covey. Nimepata changamoto ambazo idadi yake siijui.

Kimsingi anachokisema mwandishi ni umuhimu wa kuanza kujitengeneza wewe mwenyewe kiasi cha kujihakikishia ushindi binafsi (private victory)ndipo ufikiri zaidi ya hapo.

Tatizo la watu wengi hufanya makosa. Huanza na kutafuta ushindi wa hadharani (kukubalika, kuhusiana na wengine kwa bidii) kabla ya ushindi binafsi. Huko, kwa mujibu wa Covey ni kupoteza muda!

Maoni

  1. Hiki nilipewa kama zawadi na my wife wangu mwaka jana. Kina mengi mno ya kupanua akili, kubadilisha tabia na mitazamo na kumfanya mtu ajitafute upya.

    Kama ulivyogusia hapa - watu wengi hutafuta kwanza nakshi za nje hata kama ndani wameoza. Matokeo yake ni kuishi maisha ya "ukaburi" - maisha yanayoonekana kuwa yamekamilika kwa nje lakini kwa ndani yana njaa isiyoshindika ya kutoridhika na utupu. Ni kitabu kizuri. Hicho cha juu sijakisoma lakini nitakitafuta.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Pay $900? I quit blogging