Vitabu Uarabuni
  Saa nyingine si vibaya kupitia maeneo haya. Ingawa kuna gharama zake.         />    Kwa tusiopenda kazi, ikawa rahisi sana kuona kitabu cha aina hii:     Lakini pia si vibaya saa nyingine kujua imani za watu zinavyosemwa na wasio ndani:     Hata hivyo, hiyo ikatosha kuwa ni zawadi ya Uarabuni.