Mitaa ya Nairobi kwa jicho langu
  Foleni ya matatu, abiria wanaingia kwa utaratibu     Alama ya jiji la Nairobi, land mark     Iliko benki kuu ya kenya     Mtaa wa Kimathi, Ofisi za Magazeti ya Nation      Pilikapika za mtaa wa Tom Mboya     Sanam ya shujaa Tom Mboya     Alama za mitaa, zinaonekana uzuri