Methali! Methali!

Wahenga walilonga:
" La kuvunda..."

Maoni

  1. DUH! UMEBADILISHA KICHWA CHA HABARI?

    AU.......

    JibuFuta
  2. La kuvunda halina ubani!
    Utalipatia ubani gani la kuvunda? Llikishavunda harufu yake ndo marashi yake tena.

    JibuFuta
  3. Koero, sijabadili. Pengine ni kwa sababu nimepost zote na hiyo ya juu kwa muda unaokaribiana!

    Subi, labda tuliweke kwenye jokofu, waonaje?

    JibuFuta
  4. La kuvunda halina ubani, kifo hakina kinga,
    la kuvunda! Hata ukiliweka kwenye jokofu , litavunda tu, la kuvunda, hata kama sio leo, wala kesho, hata mtondo go, iko siku litavunda tu, kuliweka jokofuni, waliongezea tu siku za kutovunda! lakini litavunda tu.

    JibuFuta
  5. La Kuvunda halina ubani

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?

Pay $900? I quit blogging