Alhamisi, Machi 05, 2009

Kutoka kwa Da'Subi, unaelewa picha hii ilivyo?Ukiiangalia kwa makini picha hii, utaamua mwenyewe ikiwa hawa jamaa wanajenga darini ama sakafuni? HIyo ngazi iliyowekwa ina kazi gani?

Huu ni mfano mzuri wa jinsi akili zetu zinavyofanya kazi. Unakifikiri kinatokana na ulichokiingiza ubongoni mwako kabla.

Maoni 1 :

  1. Hii picha ilivyokaa kaa utafikiri imepindwa katikati? What the hell!

    JibuFuta