Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2008

Sayansi haina wapenzi wake mtandaoni?

Kuna msomaji wangu ameniandikia anasema Sayansi haina wafuatiliaji. Anasema, "Yale madude yanaboa..Sayansi haina wapenzi wengi kabisa." Haya. Asante kwa ushauri.