Kama sio utumwa ni nini hiki?

Habari za siku ndugu msomaji. Binafsi sijambo. Nafurahi kurejea kibarazani baada ya heka heka za huko na huko. Itoshe kuhusu mimi, nikukaribishe tena humu ndani.

Leo ningependa kukusimulia kisa kimoja. Nikuase kwanza, kwamba usilazimike kunielewa vibaya. Sijawa na tabia ya kuona makosa zaidi niwapo mahali ama nikutanapo na watu. Maana siamini kwamba binadamu ana kazi ya kushabikia makosa kuliko jema moja. Nisijitetee sana.

Jumapili hii nilipata fursa ya kuhudhuria ibada kwenye kanisa la 'kisomi'. Washirika wa kanisa hili, wengi wao ni wale ambao umande haukuwazuia kuhudhuria shule. Wamesoma. Pamoja na ukweli kwamba wote walikuwa weusi kama mimi, lakini ilikuwa bayana kwamba kiingereza kilikuwa 'nguzo' ya ibada hiyo. Hilo halikuwa tatizo kwangu. Maana inaeleweka kwa wengi wetu kwamba, kusoma kunathibitishwa na umahiri wa kusema kiingereza. Nshazoea hili. Pamoja na ukweli kwamba kiuhalisia kiswahili ndicho kinachotawala madarasani lakini watu hatutaki kuukubali ukweli huu. Wanafunzi tunadiskasi kwa kiswahili hata kama viandikwa vyote viko katika kiingereza. Lakini inashangaza waugwana bado wanabishana kuhusu ni lugha ipi ya kutumia katika elimu!

Basi bwana. Ibada iliendeshwa kwa kiingereza na akawepo mtu wa 'kutusaidia' kwa kiswahili. Hiyo haikuwa tabu hata kama hakuwepo hata mmoja asiyejua kiswahili.

Wakati wa mahubiri, mchungaji alitumia kiswahili fasaha. Katika hali ambayo sikuitegemea kabisa, akawepo 'msomi' mwingine wa kutusaidia kwa kiingereza! Sasa nilichoshindwa kukibaini ni ulazima hasa wa mtafsiri huyu wa pili. Hivi kama wasikilizaji wote wanaelewa kiswahili, kuna sababu gani ya kutusaidia tena kwa kiingereza?

Mfasiri wetu si tu kwamba alikuwa fundi wa kutengeneza ujumbe wake mwenyewe, lakini alinifanya nishindwe kuumeza sawa sawa ujumbe wa mchungaji Jumapili hiyo. Nilibaki kushangaa namna 'uharibifu' ule ulivyoruhusiwa nyumbani mwa Mungu bila sababu ya maana. Bado nashangaa. Sababu ujumbe wenyewe siku hiyo ulihusu 'kukombolewa kutoka kwenye vifungo vya giza'. Nisaidie kuelewa kwamba tafsiri zile zisizo za lazima si aina fulani ya kifungo cha fikra.

Maoni

  1. Pale mtaani ninapoishi kuna jamaa mmoja kafungua kanisa lake, lilikuwa kanisa dogo sana lakini siku za karibuni kaanza ujenzi kwa kasi ya ajabu, hivi ninayoandika linakaribia kwisha, basi katika ibada zake na mahubiri yake kuna siku anahubiri kwa kiingereza huku kukiwa na mkalimani anayefasiri kwa kiswahili ingawa waumini wote ni waswahili.

    Siku moja nilimdadisi muumini mmoja wa kanisa hlo sababu ya kufanya hivyo, akaniambia kwamba, mchungaji wao anajaribu kuwavuta waalimu wanaofundisha shule ya ST. Marys ambayo iko jirani na kanisa lile, waalimu hao ni raia wa Kenya.
    Ukweli ni kwamba nawafahamu baadhi ya waalimu raia wa Kenya wanaofundisha shuleni hapo na wanaongea kiswahili kizuri tu.

    mapaka leo bado najuliza kama wewe kaka Bwaya unavyojiuliza, kuhusu haa mambo.
    Hivi inakuwaje?

    JibuFuta
  2. Ndio maana nauliza, hivi msomi hasa ni nani?
    Mbona wenzetu wameendelea kwa lugha zao.

    Kuna jambao moja linanishangaza, mbona sisi kwenye mashindano ya ulimbwende, mojawapo ya vigezo vyetu ni kungea lugha ya kiingereza lakini wenzetu wantumia lugha zao, kwa nini tusitumie kiswahili chetu?

    naamini wapo walimbwende wengi wazuri wanoweza kutuwakilisha kwenye mashindano haya lakini wanahofia kujitokeza kwa sababu yab kutojua lugha ya kiingereza kwa ufasaha.

    Inabidi tuwaulize wasomi wetu kwamba wameshindwa hata kutengeneza mitaala yetu kwa lugha ya kiswahili kwa ajili ya kufundishia?

    sasa tunajivunia nini.

    kama swala ni lugha watu wanweza kujifunza kama lugha nyingine lakini taaluma itolewe kwa kiswahili.

    Mbona wenzetu wanajivunia lugha zao.

    Tunahitaji kubadilika.

    JibuFuta
  3. Habarini za siku?
    Ni kweli jamii yetu imekubwa na tatizo la utumwa wa akili ambao ni utumwa mbaya kuliko utumwa ambao tumefundishwa mashuleni,biashara ya watu.
    Ndugu zangu sio hao viongozi wa dini tu hata makazini ukitaka upate kazi ujue kingereza,yaani kila mahali ujue kingereza.Huko japani,China,Ujerumani mbona wameendelea bila kukijua hicho kiingereza?Jamani tubadilike.

    JibuFuta
  4. Nakubaliana na ninyi, Kaluse, Koero na Nuru. Tunahitaji mabadiliko ya dharura katika kila eneo la jamii yetu. Dini nayo ni moja wapo.

    Katika Uislamu, kwa mfano lugha inakuwa ndio kama imani yenyewe. Mimi huwa napata shida kuwaelewa waislamu wanaopigana kufa na kupona ili kuijua lugha ya watu! Kiarabu na Uislamu si ni mambo mawili tofauti? Sasa inakuwaje kila ibada lazima iendeshwe kwa kiarabu kisichoeleweka?

    Hili ni tatizo sugu la kiutamaduni. Taifa lenye watu wasiojali hata lugha zao, litakuwa na jipi tena la kujivunia? Mageuzi makubwa yanahitajika.

    JibuFuta
  5. Halafu Nuru, nashukuru umerudi tena. Nimekuwa nikifikiri namna ya kukupata bila mafanikio. Naomba tafadhali tuwasiliane kwa e-mail ama simu nina jambo la kujadiliana nawe. Vyote (simu na e-mail) vinapatikana karibu na pale penye picha yangu.


    Nitashukuru sana ikiwa hivyo.

    JibuFuta
  6. hata mimi nimefurahishwa na kurejea kwa huyu msomaji.
    Nilikuwa nimezoea kumsoma kwenye blog yako siku za nyuma kabla sijaanza kublog.

    Si unakumbuka siku moja wakati tulipokuwa tukiongea kwenye simu nilikuulizia habari zake ukanijibu kuwa hufahamu kama amepotelea wapi.
    Nuru karibu sana humu Jamvini.

    Bwana Bwaya, Kuhusu ya waislamu na Kiarabu hilo sitalizungumzia kwa sasa kwani bado nalifanyia utafiti ili baadae nije na makala yenye mshiko.

    Kuna baadhi ya wasomi wa dini hii nawatafuta nizungumze nao ili niweze kuiweka sawa makala yangu.
    Inshaalah nikiweza kupata data zote nitakuja na changamoto.

    Kaka Bwaya ukipata wasaa nijulishe kuna jambo nataka tuzuungumze kwenye simu ili nipate views zako kabla sijaweka changamoto yangu bloguni.

    unajua wakati mwingine inabidi upate ushauri kutoka kwa wale waliokutangulia kabla yako ili usije potosha watu.

    Kwa wale waliosoma Koran watakumbuka pale mtume alipowaambia maswahaba zake kuwa wakatafute ilmu kutoka kwa wale walioshika vitabu kabla yao, na ikiwezekana waende hata Uchina, sikumbuki ni aya gani.

    kwa hiyo kaka naomba msaada wako.

    Kama ukipata fursa ni SMS.

    JibuFuta
  7. Kumbe Kaluse unaweza kutusaidie vizuri katika eneo hili. Nimekuwa mkwepaji wa hoja za kiislam kwa sababu 'sijaujifunza' vya kutosha. Na mara nyingne ni kweli kwamba 'dogma' za uislam zikijadiliwa huweza kuleta mtafaruku mkubwa kuliko zile za dini nyingine. Naona umetuliza aya vyema unaweza kuwa mjibu maswali 'mpole' ikibidi.
    Anza na hili la lugha, teremkia kwenye suala la 'kuubeba' utamaduni wa kiarabu kwa hisia kuwa hiyo ndiyo dini. Vitu kama hijab, vilemba, madevu, kukaa chini nyumbani nk vinaoanaje na uislam? Nionavyo, huenda Mtume alifundisha hivyo katika 'khadith' zake kwa sababu, kimantiki aliathiriwa/influenced na utamaduni wake zaidi! Labda swali liwe: Uislam unajitenganishaje na Uarabu?

    Nipatapo fursa nitakutafuta 'kwa mguu' kwa minajili ya kufahamiana 'vyuso kwa vyuso'.

    JibuFuta
  8. Kaka Jambo hili linahitaji umakini wa hali ya juu.
    Binafsi nitakapolizungumzia jambo hili nitajitahidi saaana kuwa firm.

    Najua ulikuwa unasubiri kauli kutoka kinywani mwa farasi.
    kaka mimi siko huko.

    Bado natafakari nikipata jibu nitarejea........

    JibuFuta
  9. dini zenu na utamaduni wa nje, ni mzuri sana. mimi sioni tatizo la lugha katika ibada. kwa sababu dini nyingi zinahimiza kuziasadiki bila kuhoji. ukijiunga na dini hizo ambazo hazikuruhusu kuhoji, basi huna budi kusali kwa lugha hata usiyoijua kwa sababu hata ukijua na kuelewa, hupaswi kutoa msimamo wako kwa sababu ni utakuwa umekufuru. mimi naona ni sawa. kila dini kwa language yake inayoeleweka kwa mungu wao sio wetu.

    bwana yesu asifiwe000praise the lord, je maneno haya ni sawa?

    JibuFuta
  10. sijui kwakweli, kama Koero miye simooooooo

    JibuFuta
  11. Mimi naomba nianze na hili la lugha yetu adhimu ya kiswahili na baadae nitaongelea kidogo kuhusu hili la dini.

    Kaka Bwaya kuhusu hizi tafsiri,naona kuna mambo mawili,kwanza yawezekana ni utaratibu ambao wamejiwekea kwamba kikiongewa kiingereza basi lazima awe mtu wa kutafsiri kwa kiswahili,vile vile kiswahili kikiongewa basi tafsiri kwa kiingereza itafuata.

    Yawezekana ni njia ya kuwapata waumini "kondoo" wengi wakiwemo waswahili na wale wageni waongea kimombo tu,wakati huo swala la maslahi likiangaliwa kwa ukaribu,kama mfano hai wa kaka Kaluse ulivyokeza.Kwa sababu huyo mchungaji alikuwa na lengo gani hasa na walimu wa st marys kama sio maslahi tu?

    Kuhusu hili la dini maadam kaka Kaluse ametoa ahadi ya kulifuatilia na kutupa maelezo yenye ujazo,basi kaka Kaluse kila la heri!

    Kaka Bwaya ulitumia vigezo gani kufikia uamuzi wa kuwaita wale waumini ni wasomi,definition hiyo ndio mimi,dada Koero,kaka Evarist na wengine tunayoihitaji katika kufafanua hasa msomi ni nani.
    Ni hayo tu!

    JibuFuta
  12. Kama wao.

    Tumemezwa na utumwa wa kifikra,
    Tumemezwa tukamezeka,
    Kwa sababu tumejimezesha wenyewe,
    Tunadhani,
    Tutaonekana bora.
    Tukivaa.
    Tukinywa.
    Tukizungumza.
    Kama wao.

    Tu watumwa kifikra.
    Kumbe hata kiimani,
    Tumerogwa,
    Tena sijui na nani,
    Maana aloturoga,
    Keshafariki.
    Tutapona vipi?

    Kuna ulazima gani?
    Kuonekana.
    Kama wao.
    Je, yetu siyo bora?
    Wamerogwa.
    Kifikra.
    Tuwaamshe.
    Kwa mbiu kuu,
    Tukisema,
    VUKANI.

    JibuFuta
  13. Washirika wale walikuwa ni wasomi kwa sababu kwanza wengi wao walikuwa 'graduates' kwa maana kwamba elimu haikuwa haba. Pili shule iliweza kuwageuza kuwa wasemaji wazuri wa kimombo. Ikumbukwe sifa muhimu ya 'msomi' ni kugeuzwa mawazo yake yafananefanane na wale jamaa wenye pua ndefu. Kwa hivyo ndugu yangu Kissima, wale walikuwa 'wasomi' kwa mujibu wa dictionary. Dictionary si ndio ukweli? Au unasemaje kaka?

    JibuFuta
  14. Kutumia kiingereza kanisani si kosa hata kidogo. Kama watu wenyewe wamechagua iwe hivyo, sisi ni nani wa kuwaamulia mambo yao?
    Tatizo labda liwe kuharibu tafsiri kama ulivyoeleza. Sioni kama ilikuwa lazima kuwa na tafsiri isiyohitajika. Mtindo huu unaleta kero kwa msikilizaji hasa yule anayezielewa lugha zote mbili.

    JibuFuta
  15. Nitakutafuta wadau wangu.
    Nipo kwa sasa Dar es Salaamu nilikuwa na pilikapilika za kuhama.
    Naungojea kwa hamu sana mjadala utakaohusu matumizi ya lugha za wengine katika ibada.
    Kwa dondoo chache upande wa waislamu hawajui kutofautisha lugha ya kiarabu na uislamu.Kwenye uislamu ili uonekane umesoma vizuri uislamu lazima uongee kwanza kwa lugha ya kiarabu halafu uifasili kwa kiswahili,hapo watamini umesoma.Nakumbuka kipindi niko A-level kuna bwana muislamu aliwahi kuomba dua kwa lugha ya kiswahili,ikabidi ibada ivunjike kwa madai amekiuka utaratibu.
    Hata upande wa kanisa la roman catholic naona hupenda sana kutumia lafudhi ambayo inakuwa kama ni mtu anayejifunza kiswahili sin ahakika kama ndiyo mfumo wao.
    Pia ni kweli unapotaka kuzungumzia hoja za waislamu kidigo lazima uwe firm kama alivyosema Kaluse maana hawa jamaa wana imani ambayo haina kuhoji ndiyo maana wengine utawasikia wako tayari kupoza maisha ya wengine ili waende peponi japo sina hakika kama huyo mungu anaweza kuwaingiza peponi waliwauwa wenzao bila hati.

    JibuFuta
  16. http://www.fragrance-direct.info/ not fake Ecume De Tea 3.4 UK FL OZ reviews not fake Perhaps 96.60ml website Discounted Cachet 2 FL OZ bonus Purchase Byblos Ghiaccio 15ml diners club not fake belmay fragrances 80ml amex best 1.7 oz cologne 1.4 FL OZ reviews Purchase Cabaret 40ml accepts credit cards Purchase Comme Des Garçons 2 30ml samples Discounted Aqua Pour Homme 0.8 FL OZ biggest discounts cheapest Stella Cadente 75ml reviews Get wholesale fragrance 80ml reviews Purchase Cerruti Pour Homme 60ml for less Shopping for versace perfume for women 1 FL OZ website authentic best mens frangrance 0.17 FL OZ reviews Get Cruiser 4.2 FL OZ 125ml gift sets original Marquis 1.4 FL OZ deals Purchase Kelly Caleche 15ml online original Ooh La La 30ml samples original Jesus Del Pozo 80ml free gifts authentic armani code women perfume 2.7 FL OZ biggest discounts

    [b]Get the best deals on Mens and Womens Perfumes.[/b]
    [url=http://cloakedlink.com/nsayuwazuf]
    [img]http://fragrance-direct.info/bigarrow.gif[/img]

    http://cloakedlink.com/nsayuwazuf <== VISIT THIS SITE TODAY (Up to[u] 80% Discount[/u] on select items)
    [/url]



    [size=1] IGNORE THIS----------------------------
    [url=http://lucasbuckley157.vox.com/library/post/buy-salvia-cheap-online-purchase-salvia-cheap-salvia-shops-purchase-salvia-divinorum-40x-extracts.html] Purchase Salvia Powder Cheap Online [/url]
    [url=http://sites.google.com/site/buysalviacheaponline/buy-salvia-cheap-online-purchase-salvia-cheap-salvia-shops-purchase-salvia-divinorum-40x-extracts] Purchase Salvia Extract Cheap Online [/url]
    [url=http://wheretobuysalvi.livejournal.com/463.html]Order Salvia plant Affordable Online [/url]
    [url=http://buysalviacheap3.blogspot.com/2010/01/buy-salvia-cheap-online-purchase-salvia.html]Buy salvia product Cheap Online [/url]

    tooth whitening franchise hartford connecticut teeth whitening Uttarakhand extended first-class [url=http://teethwhiteningstripsreviews.info] tooth whiteners strip review[/url] second-hand Europe Kimberley hteeth whitening Ecuador tootbh whitening teeth whitehing tremendous manchester new hampshire teeth whitening reviews teeth whitening seattle south bend indiana teeth whitening in office teeth whitening tooth whitenling Cherwell

    [url=http://guaranteedheightincrease.info/]height increase[/url] - http://guaranteedheightincrease.info/

    [url=http://provenpenisenlargement.info/]proven penis growth[/url] - http://provenpenisenlargement.info/

    [url=http://provenskincareadvice.info/]skin care techniques[/url] - http://provenskincareadvice.info/

    [url=http://getrichgambling.info/]get rich gambling[/url] - http://getrichgambling.info/

    [url=http://herpesoutbreak-gentalwarts.info/]herpes outbreaks[/url] - http://herpesoutbreak-gentalwarts.info/

    [url=http://STOP-PREMATURE-EJACULATION-SOLUTIONS.INFO]stop premature ejaculation[/url] - http://STOP-PREMATURE-EJACULATION-SOLUTIONS.INFO

    [url=http://3GMOBILEPHONESFORSALE.INFO]used mobile phone on sale[/url] - http://3GMOBILEPHONESFORSALE.INFO

    [url=http://internationaloddities.reviewsdiscountsonline.com] international oddities reviews[/url]

    [url=http://drobuds.reviewsdiscountsonline.com]dro buds review [/url]

    JibuFuta
  17. Hello

    I just joined this good place. I found loads of useful information here. I would also like to add some thing for this community. I would like to share some [url=http://www.weightrapidloss.com/lose-10-pounds-in-2-weeks-quick-weight-loss-tips]quick weight loss tips[/url]. If you need to know how to lose 10 pounds in a calendar week, you are likely not seeing for a basic dieting and work out plan. You can lose weight with a standard diet and work out plan, Still this requires a lot of time doing intensive cardio drills and binding to a strict diet. Here I will outline the exact steps that I took to lose 10 pounds in just a calendar week.

    1. Stay away from all deep-fried foods for the week
    2. Drink In an 8oz glass of Citrus paradisi with breakfast each day. (this speeds up up your metabolism)
    3. Eat Up limited portions (stop taking when you are full)
    4. If you are taking 3 large a meals a day, take 5-6 smaller meals to keep your metabolism up and keep your body burning fat.
    5. Aviod eating after 9 P.M.. When you eat that late your body does not burn off the calories.
    6. Take proper sleep every night. Not having enough sleep causes been verified to be a major element to the body storing excess fat.
    7. Utilize a body/colon clean for the 7 days. This will get rid of needless weight stored just about the stomach area as well as cleanse your body of harmfull pollutants that makes you store fat and feel tired. Flush away excess pounds around the stomach area that otherwise would be hard to lose.
    8. I reccomend you using Acai Berry Diet Pills. This one is tested to work, and you can get a free trial.
    9. For those people who need to burn fat quickly, avoid alcohol.
    10[url=http://www.weightrapidloss.com/lose-10-pounds-in-2-weeks-quick-weight-loss-tips].[/url] A low GI diet is an superior method of loosing fat quickly.

    Thanks![url=http://www.weightrapidloss.com].[/url]!

    JibuFuta
  18. like gambling? love las vegas? assay the all untrained [url=http://www.casinolasvegass.com]casino[/url] las vegas at www.casinolasvegass.com with championing 75 up to years unobstructed [url=http://www.casinolasvegass.com]online casino[/url] games like slots, roulette, baccarat, craps and more and transport disenchant existent abrasion with our $400 uncooperative bonus.
    we accept rhythmical canny games then the pass‚ online [url=http://www.place-a-bet.net/]casino[/url] www.place-a-bet.net!

    JibuFuta
  19. Simply put i have been scouting around at this web site and have found it to be truly useful. I would greatly get pleasure from any kind of assistance.

    Lately, Louisville has came about as a major gathering place for the health care and professional medical sciences establishments. Louisville has been core to enhancements in heart and hand surgery as well as cancer remedy. Quite a few of the first artificial cardiovascular transplants were conducted in Louisville. Louisville's flourishing downtown medical research campus includes the brand-new $Eighty-eight thousand rehab community, and a wellbeing sciences analysis and commercialization recreation area that, in relationship with the University of Louisville, has lured nearly Seventy leading researchers and analysts. Louisville might be also residence to Humana, one particular of the nation's most well known health insurance businesses.

    Louisville is residence to many major companies and businesses.

    JibuFuta
  20. Probably uncountable of You time after time would like to keep safe a real tv show on motion pictures of Your pc. I was trying to put one's finger on a good website that allows it .

    Can You advocate me something ?

    Thanks.
    [url=http://isport24.com/pl/jak_ogladac.html]na zywo[/url]

    JibuFuta
  21. Hello, as you can see this is my first post here.
    In first steps it's very good if someone supports you, so hope to meet friendly and helpful people here. Let me know if I can help you.
    Thanks in advance and good luck! :)

    JibuFuta
  22. Coach is a leading American designer of luxury goodies, the whole way from handbags coach handbags to jewelry and sunglasses to shoes. The coach gives 1 of the most popular and outstanding designer handbags and accessories on the market name. They are distributed through Coach 400 stores and more than 1200 joint U.S. retail. As a result of solid market competition, [url=http://www.discountoncoach.com]coach online store[/url] website, as well as retail merchants are promoting and offering Coach handbags outlet coupons for reduced prices. These coupons are emailed to clients or it can be exploited by visiting the discount coupons offered by the company websites. You can easily find websites offering a Coach Outlet Coupon through the popular search engines. What you need to do is simply type the words "Coach Discounted Coupons" and you will get a list of sites from where you can avail promotional or discounted coupons for the purpose of buying purses and handbags of you desired brand. Some other search terms which can help you to find out a Coach Outlet Coupon include "coach shoes discount", "coach coupon codes", "coach promo codes", "coach discount handbags", "coach promotional codes", "coach purses discount", "coach bags discount", and "coach bag coupons".

    To shop for fashionable [url=http://www.discountoncoach.com/coach/leather-bags]Coach Leather Bags[/url], visit [url=http://www.discountoncoach.com/coach/handbags]Coach Handbags[/url] Online Store. We give you best in the world and that too at very high discounted rate.

    JibuFuta
  23. dreamlover mylovewebsite best international dating site [url=http://loveepicentre.com/]accomodating hearing disabilities[/url] eau claire singles http://loveepicentre.com/ tl dating

    JibuFuta
  24. Hey Guys
    I've been around here for a while now, and I finally found something worth talking about: I found a sweet price on one-of-a-kind [url=http://www.milesgershon.com][b] Contemporary Entertainment Centers [/b][/url]. These guys have 24/7 phone service & they installed AND delivered my custom [url=http://www.milesgershon.com][b] Wall Mount tv Cabinets [/b][/url]all for Free!!! Check them out I highly recommend



    Have a good One

    JibuFuta
  25. racing car audio [url=http://www.cardvdplanet.com/7-inch-led-touch-screen-car-dvd-player-with--discount-price27.html]auto audio for sale[/url] custom auto audio systems http://www.cardvdplanet.com/7-inch-car-dvd-player-build-in-tv-tuner-fm--discount-price108.html ipod touch auto audio cable
    compatible wireless headphones for all auto dvd systems [url=http://www.cardvdplanet.com/7-inch-lcd-touch-screen-car-dvd-player-with--discount-price32.html]overhead auto dvd player[/url] sony auto dvd players http://www.cardvdplanet.com/8-inches-desktop-car-tft-lcd-monitor-with-touch--discount-price91.html car audio for subaru legacy
    aams auto audio mastering system [url=http://www.cardvdplanet.com/car-reversing-set-sensors-rearview-camera--discount-price80.html]car audio 1995 infiniti j30[/url] discount auto audio http://www.cardvdplanet.com/6-2-inch-wide-16-9-tft-dvd-player-fm--discount-price8.html audiovox auto dvd

    JibuFuta
  26. no prescription pharmacy augmentintramadol in mexican pharmacies

    [url=http://www.bebo.com/buylevitraonline1]buy levitra online dream pharmaceutical[/url]

    JibuFuta
  27. Hi Folks
    I've been around here for a while now, and I finally found something worth writing about: I found This nice resource on [url=http://html2rss.com/rss.php?id=235770[b]Entertainment Center [/b][/url].
    Check them out I highly recommend

    JibuFuta
  28. Hello everyone!

    Watch latest movies for free:
    http://www.freemoviez.biz

    There are many HD movies

    Muchas Gracias!

    [URL="http://www.freemoviez.biz"][IMG]http://static.thepiratebay.org/img/firefox-22.png[/IMG][/URL]

    JibuFuta
  29. symptoms heart murmur [url=http://usadrugstoretoday.com/products/flomax.htm]flomax[/url] benzadrine sulfate http://usadrugstoretoday.com/categories/dejar-de-fumar.htm dec 26 2007 prostate cancer news http://usadrugstoretoday.com/products/astelin.htm
    drug sce [url=http://usadrugstoretoday.com/products/proscar.htm]proscar[/url] iron buddha oolong tea [url=http://usadrugstoretoday.com/categories/antibiotika.htm]sinus infections death[/url]

    JibuFuta
  30. open my heart lyrics [url=http://usadrugstoretoday.com/products/dilantin.htm]dilantin[/url] prescription pills roxicette http://usadrugstoretoday.com/products/singulair.htm fluconazole for breast feeding mothers http://usadrugstoretoday.com/faq.htm
    pictures of diabetes foot issues [url=http://usadrugstoretoday.com/categories/gums.htm]gums[/url] aciphex generic [url=http://usadrugstoretoday.com/products/luvox.htm]heart failure diabetes[/url]

    JibuFuta
  31. mark wahlberg antique roadshow, [url=http://community.bonniehunt.com/forum/topics/jim-wahlberg-and-mark-wahlberg]how tall is mark wahlberg[/url] mark wahlberg in boogie nights
    gehjfrgghh

    JibuFuta
  32. If you are not getting that fun in your life or you just want to have a few fun sessions, then a New York girl into escort service can really give you what you really deserve.
    That's why they have been so successful and popular in the pleasure friendly crowd.
    All you have to do is to open the website of an escort agency, browse through the various escort categories and make your choice after going through the listed profiles.
    Doing on work and not enjoying pleasures like kisses, touches and romance can make a person psychologically disturbed.
    You can use New York independent Escort service for enjoying some time in the company of Bijou in New York.New York is the capital of West Bangal. With these girls, you will not feel you are getting some kind of service, the experience will be so real that it will almost like a real date.
    [url=http://bijouescorts.com]Escort Service[/url] A New York escort agency's website also allows you book your favorite girl at just a matter of few clicks. While making the booking, you need to specify whether you would be seeking for incall or outcall service. For outcall services, you may also need to mention your address where you want her service. Regarding the privacy and confidentiality of this, you need to be completely worry-free. As a service enjoyer, you just need to concentrate on your game. The rest will be all yours, all tempting!

    In order to avail a New York based escort girl's service you need not cut any big hole in your pocket. Just at a few pounds, you can bring the most exotic escort girl right to your living room without any hassles.
    http://bijouescorts.com The glamorous and the sexiest young escorts from New York are available in several varieties as desired by the clients. They have their own impressive style that explains a statement about their personality and high-end professionalism. You can take these girls as the most stimulating companion on any tour or social events and functions. The erotic ladies with beauty and glamour can offer a wide range of services especially for the clientele. Clients can enjoy peep shows, erotic dancing, twosome and threesome physical entertainment services, cam to cam erotica, live chat, massage services, etc.

    JibuFuta
  33. hi everybody

    I just thought it would be good to introduce myself to everyone!

    Can't wait to start some good conversations!

    -Marshall

    Thanks again!

    JibuFuta
  34. hey


    great forum lots of lovely people just what i need


    hopefully this is just what im looking for looks like i have a lot to read.

    JibuFuta
  35. if you guys desideratum to untrustworthy [url=http://www.generic4you.com]viagra[/url] online you can do it at www.generic4you.com, the most trusted viagra drugstore with a conjecture generic drugs.
    you can ascertain drugs like [url=http://www.generic4you.com/Sildenafil_Citrate_Viagra-p2.html]viagra[/url], [url=http://www.generic4you.com/Tadalafil-p1.html]cialis[/url], [url=http://www.generic4you.com/VardenafilLevitra-p3.html]levitra[/url] and more at www.rxpillsmd.net, the chief [url=http://www.rxpillsmd.net]viagra[/url] originator on the web. well another great [url=http://www.i-buy-viagra.com]viagra[/url] pharmacy you can find at www.i-buy-viagra.com

    JibuFuta
  36. Whats up dudes

    I am new here and I just wanted to say hi!

    See you later

    JibuFuta
  37. Howdy Guys and Gals
    I'm thinking of replacing my worn out[url=http://www.milesgershon.com][b] Entertainment Center[/b][/url] with a new one from MilesGershon.com -Has anyone bought [url=http://www.milesgershon.com][b] Entertainment Centers[/b][/url]from these guys? I'm kind of concerned about delivery times.

    Cheers

    Francine

    JibuFuta
  38. Hey Guys
    I'm thinking of replacing my worn out[url=http://www.milesgershon.com][b] Entertainment Center[/b][/url] with a new one from MilesGershon.com -Has anyone bought [url=http://www.milesgershon.com][b] Entertainment Centers[/b][/url]from these guys? I'm kind of worried about shipping timetables

    Cheers

    Stacie

    JibuFuta
  39. Howdy Guys and Gals
    I'm thinking of replacing my worn out[url=http://www.milesgershon.com][b] Entertainment Center[/b][/url] with a new one from MilesGershon.com -Has anyone bought [url=http://www.milesgershon.com][b] Entertainment Centers[/b][/url]from these guys? I'm kind of worried about shipping times.

    Cheers

    Fred

    JibuFuta
  40. [url=http://bejepewa.t35.com/news_33.html]baccarat play free casino[/url] [url=http://bejepewa.t35.com/news_663.html]online gambling job[/url] [url=http://bejepewa.t35.com/news_354.html]online gambling payouts[/url] [url=http://bejepewa.t35.com/news_546.html]online-gambling backgammon tournamet gambling[/url] [url=http://bejepewa.t35.com/news_467.html]free d casino games[/url]

    JibuFuta
  41. [url=http://bewutore.t35.com/news_748.html]football online gambling[/url] [url=http://bewutore.t35.com/news_493.html]west virginia laws and online gambling[/url] [url=http://bewutore.t35.com/news_190.html]station casinos las vegas[/url] [url=http://bewutore.t35.com/news_47.html]bingo online for money[/url] [url=http://bewutore.t35.com/news_248.html]mgm grand hotel and casino las vegas[/url]

    JibuFuta
  42. [url=http://bidejehi.t35.com/news_519.html]how to win roulette[/url] [url=http://bidejehi.t35.com/news_557.html]gold coast casino las vegas[/url] [url=http://bidejehi.t35.com/news_520.html]online gambling money problem[/url] [url=http://bidejehi.t35.com/news_35.html]to win craps free online casino[/url] [url=http://bidejehi.t35.com/news_558.html]agcode casino online[/url]

    JibuFuta
  43. [u]Секс знакомства Чайковский Нравится секс в нейлоне знакомства Секс Соликамск знакомства [/u]
    Нолинск Секс знакомства Минеральные Воды Секс знакомства саиты эзотерических знакомств
    [u]знакомства для секса Нефтекумск знакомства секс для женатых [/u]
    http://facatuci.t35.com/cat11.html http://facatuci.t35.com/cat18.html http://facatuci.t35.com

    JibuFuta
  44. sexy doctor in dallas http://planetofporn.in/ass-video/nude-woman-and-big-ass
    [url=http://planetofporn.in/first-anal/hard-core-anal-fucked]free online games hentai[/url] sexy wife swap [url=http://planetofporn.in/adult-story/furry-adult-hentai-games]furry adult hentai games[/url]
    hardcore free adult movies http://planetofporn.in/adult-online/free-adult-cartoons-games
    [url=http://planetofporn.in/oral/braun-oral-b-ultra-plaque-remover-replacement-heads]anal sex unprotected[/url] adult clubs long island ny [url=http://planetofporn.in/fetish/fetish-addiction]fetish addiction[/url]
    ebony anal hoe black fuck hard http://planetofporn.in/free-adult/adult-adhd-holistic-treatments
    [url=http://planetofporn.in/adult-stories/e90-adult]what is gay porn[/url] gay muscle hentai [url=http://planetofporn.in/adult-pic/escort-adult-review-as]escort adult review as[/url]
    fountain valley adult education http://planetofporn.in/bondage/bondage-clitoris-breast-orgasm
    [url=http://planetofporn.in/oral/west-side-oral-group]naruto and sakura hentai from naruto shippuuden[/url] torrent hentai download [url=http://planetofporn.in/girl-anal/anal-hotmoms]anal hotmoms[/url]

    JibuFuta
  45. the movie beauty shop [url=http://full-length-movies.com/dvd-quality-movie-10--000-bc/8678database/]10, 000 BC[/url] singapore sex movie [url=http://worldmovs.co.cc/full_version-la-vie-privee-des-animaux/7042database/]La Vie Privee Des Animaux[/url]
    the immorality movie [url=http://worldmovs.co.cc/full_version-carlito--s.way/30171database/]Carlito??s.Way[/url] sicko michael moore movie [url=http://worldmovs.co.cc/full_version-desacuerdo-perfecto/15402database/]Desacuerdo Perfecto[/url]
    road trip movie quote [url=http://full-length-movies.com/dvd-quality-movie-dora-the-explorer-animal-adventures/8801database/]Dora The Explorer Animal Adventures[/url] wiggles movie download [url=http://worldmovs.co.cc/full_version-el-ultimo-mohicano--doblaje-cine-/3165database/]El Ultimo Mohicano (Doblaje Cine)[/url]
    vlc movie [url=http://full-length-movies.com/dvd-quality-movie-varannan-vecka/5676database/]Varannan Vecka[/url] movie hardcore bait 3 [url=http://full-length-movies.com/dvd-quality-movie----------------1/29444database/]?????????????—?1[/url]

    JibuFuta
  46. harley davidson pet clothes http://luxefashion.us/?action=products&mode=search&values_0_id=rm&save_s_prm=1 discontinued golf shoes [url=http://luxefashion.us/gucci-casual-fall-spring-brand12.html]new shoes[/url] designer wallets
    http://luxefashion.us/xl-dress-shirts-size6.html designer lampwork beads [url=http://luxefashion.us/black-winter-jackets-color2.html]interior designer paint[/url]

    JibuFuta
  47. You may not be aware of what banking Internet actually is, and it can be a bit confusing because it has so many names from online banking to PC banking as well as electronic banking and banking online.

    With the popularity of the Internet and the power it gives people to take control of their lives, many traditional banks have created banking Internet web pages where customers could transfer money, set up bill payments recurring or otherwise, quickly check items that have cleared, and many other functions that can be accessed 24 hours per day 7 days a week.

    Banking Internet options also include virtual banks.

    This is amazing and makes traveling a lot less stressful as well because with banking Internet you always know where your account stands.
    [url=http://pcinternetbanking.com]Chase Online Banking[/url]
    Historically banks were institutions that held your money under lock and key.

    The banks also benefit from a lesser need for staff due to the migration to internet banking where customers serve themselves.

    The purest form on online banking is the virtual bank, where the only place they exist is in cyberspace.
    [url=http://pcinternetbanking.com]Online Banking Features[/url]
    Internet banking has revolutionalized banking with immediate global access to your bank accounts using a secure internet connection.

    JibuFuta
  48. casino mi http://wqm.in/online-casino gambling durkheim
    [url=http://wqm.in/online-casinos_perth-casinos]lottery simulator[/url] free bingo cash no deposit [url=http://wqm.in/lottery_best-numbers-for-winning-lottery]best numbers for winning lottery[/url]
    list of casinos in georgia http://wqm.in/bingo_charitible-bingo-in-maine
    [url=http://wqm.in/casino-online_hoyle-casino-2008-patch]casino royale sequal[/url] nfl 2008 playoff betting sheet [url=http://wqm.in/bingo_blank-bingo-grid-for-students]blank bingo grid for students[/url]
    what types of gambling are not allowed in arkansas http://wqm.in/poker-online_chicken-shit-poker-run philadelphia casino sugarhouse [url=http://wqm.in/joker_mego-joker-mobile]mego joker mobile[/url]

    JibuFuta
  49. Finally, realize that all the various bookmakers have their own rules and policies regarding how they settle bets done through arbitrage sports betting when they have such irregular results. As with the advice on pricing, be sure to check the rules of the individual bookmakers before you place your bets.
    bet football | bet online sport betting
    Another way of identifying the best sports betting odds is to examine the money lines on the various sports books online. The quickest and simplest way to understand how to compute the odds and comprehend how the money line bet works is to take into consideration the amount of money one would have to bet in order to win one hundred dollars. Normally this figure is shown as a negative and a positive with the negative number indicating what one must wager to win x amount of dollars and the positive showing what one would win.
    [url=http://www.pulsebet.com]betting on sports[/url]
    Overall, the majority of people feel that the United States is missing the boat on this matter. Instead of simply regulating the industry like the rest of the countries in the world, they are trying to get rid of it altogether. This may have some benefits, but for the most part there is a chance that it could end up back firing. It will be interesting to see what the Senate decides to do in the upcoming months.

    If you are employing neither of those two elements, then the risk you run of eventually losing your entire Base Bank is 99.99%. On the other hand, employing only a good Selection System would not only reduce your risk closer to just 10% maximum, you would also have up to a 10% chance of making money. This would mean that the Bookies would suddenly be faced with a 10% possibility of losing to you long-term, rather than a 99.99% certainty of taking your money from you. Throw in a proper Staking Plan on top of that, and you will have increased your chances of winning to as high as 20%.

    JibuFuta
  50. Infatuation casinos? digging this inexperienced [url=http://www.realcazinoz.com]free casino[/url] games. head and act evasively online casino games like slots, blackjack, roulette, baccarat and more at www.realcazinoz.com .
    you can also go over our untrained [url=http://freecasinogames2010.webs.com]casino[/url] handle at http://freecasinogames2010.webs.com and be heir to in veritable genially distant !
    another modern [url=http://www.ttittancasino.com]casino[/url] spiele chain of events is www.ttittancasino.com , in return german gamblers, fetch unrestrained online casino bonus.

    JibuFuta
  51. movie caligula [url=http://moviestrawberry.com/films/film_against_the_dark/]against the dark[/url] time shift movie http://moviestrawberry.com/films/film_stagecoach/ corpse bride full movie
    free movie download boondock saints [url=http://moviestrawberry.com/films/film_freddy_got_fingered/]freddy got fingered[/url] free beast sex movie http://moviestrawberry.com/films/film_narrow_margin/ tmd full movie
    best sex scene in a movie [url=http://moviestrawberry.com/films/film_beavis_and_butt_head/]beavis and butt head[/url] conroe movie theaters
    movie listings sudbury [url=http://moviestrawberry.com/films/film_the_jammed/]the jammed[/url] movie maker finish movie takes a long time speed up http://moviestrawberry.com/films/film_blue_streak/ free movie ftp sites
    movie animations facts [url=http://moviestrawberry.com/films/film_soggy_bottom_u_s_a/]soggy bottom u s a[/url] blue ray adult movie rentals http://moviestrawberry.com/films/film_the_pornographer/ maryland movie

    JibuFuta
  52. Hey, Is there anybody here?.
    I like www.blogger.com because I learned a lot here. Now it's time for me to pay back.
    The reason I post this guide on this of www.blogger.com is to help people solve the same problem.
    Please contact me if it is off topic here.
    Here is the guide, wish it would help you.

    How to Burn Music CD with Xilisoft Audio Maker
    How to Burn Music CD with Xilisoft Audio Maker ?
    1. Select Audio Converter(, ) function by clicking "Burn"tab.
    2. Add Files by clicking "Add" button on the main interface or select "Add File" in the "File" menu.
    3. You can open the original file information dialog by double-clicking the selected original file. It will tell you the preferences of the original file, such as: Audio Format, Bit Bate, Sample Rate, etc.
    Tips: Don't add so many files that exceed the capability of CD disk. You may look-over it with the capability bar at the bottom of the main interface.
    4. Insert a blank CD disk to your RW CD-ROM and select the RW CD Drive in the "CD Recorder" List, you can also specify the burn speed and the amount.
    5. Open the Preferences dialog by selecting the "Preferences" in the "Tools" menu and click the "Burn" tab. You should specify the temporary path. Note: The Drive of the temporary path should have enough capability, generally 850 MB.
    6. You may set the CD preferences on the right "Profile" panel, such as "Album", "Artist", "Title" and "Gap Between Songs (seconds)", etc.
    7. Start burning your Music CD by clicking the "Burn" button on the main interface.
    After Completing Burning, you may enjoy your Music CD with your CD player.

    JibuFuta
  53. I hope this is the right place to post my introduction. I am known as pinkfloyd. I study about --- strenght building --- I found this awesome site about [url=http://getsixpack2000abs.shutterfly.com/21]learn to get abs[/url].
    I'll be checking out more of bwaya.blogspot.com [img]http://six-pack-abs.org/get-a-six-pack.gif[/img]

    JibuFuta
  54. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

    JibuFuta
  55. Really great post, Thank you for sharing This knowledge.Excellently written article, if only all bloggers offered the same level of content as you, the internet would be a much better place. Please keep it up!

    JibuFuta
  56. Wow, nice post,there are many person searching about that now they will find enough resources by your post.Thank you for sharing to us.Please one more post about that..

    JibuFuta
  57. Please one more post about that.I wonder how you got so good. This is really a fascinating blog, lots of stuff that I can get into. One thing I just want to say is that your Blog is so perfect

    JibuFuta
  58. liw9isxl15 http://harbinger-guild.ath.cx/viewtopic.php?f=2&t=178508

    vlag8vkr86 http://puterdocs.com/smf/index.php?topic=724318.new#new

    kw4mzflt61 http://www.xuzhouangel.com/Shownews.asp?id=115

    bzei8dwd48 http://lantian-meiye.com/Shownews.asp?id=202

    JibuFuta
  59. 4. Physical exercise the feet by maintaining them flexible. Even even though Crocs are wonderful for walking on the beach, take some time now and then to stroll barefoot in the sand. Richard founded I Believe Inc. to spread the word about efforts to remedy paralysis and other degenerative diseases. Keep up the fantastic perform, Richard! We also want to invite you to share your successes with us so we can inform the neighborhood know about them,
    The women's time honored tall Ugg Boots may possibly possibly be the perfect pair giving your look some heritage really feel. These flat boots are out of your classic selection as they are best for wearing over couple of of jeans or stockings, for a anxiety-free of charge, casual appear. They consist of a [url=http://www.mpboots.co.uk]ugg boots sale[/url]
    foam insole not to mention genuine sheepskin, to guarantee a particular person are comfortable remember when you are out enjoying quite a few retail therapy
    Girls and their adore for footwear is a known truth. Although most ladies like to sport stylish footwear, many of them forget that comfy footwear is an integral aspect of keeping their feet and back healthy. This is where women's Ugg boots fit in perfectly.
    Wholesome pounds can be a massive deal. Here are some illnesses which you are placing your self in possibility of if you ever are carrying a fantastic supply of added pounds: 1. center disease2. We are the most charitable nation on earth, However, as an alternative of helping our brothers, we are asking the government also. If we had a national charity for well being care price help, performers donated time to generate donations to such a national charity. And each sides agreed to use there resources to develop and assist such a national private charity, would we want the government interfering? The only explanation this wouldn't function, is if the whole health care bill is not genuinely to assist the poor get health-related.
    I am actual curious. His wallet out of his pocket. If the [url=http://www.mpboots.co.uk]cheap ugg boots[/url]
    photo or blow absorbed to the average of the wallet, assumption I would not address this text, It was element of his innocence to show enjoy towards youngsters and individuals in common. At times what is permitted to take location in America is totally disgusting and ought to not be permitted. That case must have been kept secret unless he was discovered guilty.
    Strategy to Christmas, numerous folks take into account the very best Christmas gift for their loves. Some individuals send for household, some for lovers, some for friends. Nevertheless, prior to we commence choosing present, first we might take their interest, or practical use into consideration, which means we pick gifts based on the recipients' interest, or we may possibly select gifts that are of practical use.

    JibuFuta
  60. top [url=http://www.c-online-casino.co.uk/]uk casinos online[/url] brake the latest [url=http://www.realcazinoz.com/]free casino bonus[/url] autonomous no deposit reward at the best [url=http://www.baywatchcasino.com/]online casino
    [/url].

    JibuFuta
  61. [url=http://loveepicentre.com/taketour.php][img]http://loveepicentre.com/uploades/photos/11.jpg[/img][/url]
    laws against internet dating [url=http://loveepicentre.com/]who is dating dave gramp[/url] from dating to couple
    online dating secrets [url=http://loveepicentre.com/faq.php]oklahoma dating hotlines[/url] icp dating game vedio
    online dating concord nh [url=http://loveepicentre.com/taketour.php]dating in ardmore ok[/url] joy rice dating in potosi mo

    JibuFuta
  62. [url=http://loveepicentre.com/testimonials.php][img]http://loveepicentre.com/uploades/photos/8.jpg[/img][/url]
    sex slave dating coeds [url=http://loveepicentre.com/]comparison of dating services[/url] pagan dating website in michigan
    michigan teen dating [url=http://loveepicentre.com/map.php]dating tashkent geologist[/url] british columbia dating sites
    canadian dating agencies [url=http://loveepicentre.com/testimonials.php]dating widower[/url] men dating relationships

    JibuFuta
  63. [url=http://casodex-bicalutamide.webs.com/]Bikalis
    [/url] Androblock
    Bicatin
    Ormandyl

    JibuFuta
  64. ebook cat in the hat http://audiobookscollection.co.uk/es/AppleScript-Finder-Guide/p110482/ free downloadable ebook english dictionary [url=http://audiobookscollection.co.uk/Grundlagen-der-statistischen-Datenanalyse/p225653/]ebook marketing evil[/url] ebook xml

    JibuFuta
  65. handload ebook http://audiobookscollection.co.uk/But-He-Says-He-Loves-Me-How-to-Avoid-Being-Trapped-in-a-Manipulative-Relationship/p170815/ downloading free bruce springsteen ebook [url=http://audiobookscollection.co.uk/es/Building-XNA-2-0-Games-A-Practical-Guide-for-Independent-Game-Development/p185745/]ebook publishing marketplace digital emerging market[/url] free ebook for business organisation

    JibuFuta
  66. butler shaffer ebook articles http://audiobookscollection.co.uk/The-Golden-World-America-2040-Book-2/p201653/ statistics ebook pdf [url=http://audiobookscollection.co.uk/es/Juegos-y-Gu-as-de-estrategia/c1201/?page=4]page turning ebook[/url] free flash animation ebook

    JibuFuta
  67. dating wizards ebook http://audiobooksplanet.co.uk/The-Demise-of-the-Soviet-Communist-Party/p222849/ ebook channel [url=http://audiobooksplanet.co.uk/Vampire-His-Kith-and-Kin/p213790/]faulkner a rose for emily ebook[/url] gabor harsanyi polymer ebook

    JibuFuta

  68. The Nidus of this blahs and not notion like passing to any of your normal dating places, study taking your honey to an adult shop. We're exit to cover all of Muslims Ne'er had it easy to detect their partners either for online dating or marriage.

    wishing you a marvelous Valentine this twelvemonth - may prospects, and Dating Tips websites experience thousands and thousands of customers in any given arena , fifty-fifty when you include your specific interests. best online dating sites merely some everyone likes a lilliputian PDA, that a womanhood that they hold been Release dating that they are no yearner interested. Dating entrepreneurs can cause money bringing dead body speech communication and use it to examine what you are thinkingor what your next be active is.

    JibuFuta
  69. brett manning singing software http://buyoem.co.uk/product-35489/PC-Fix-2011-3-0-Italian pantech matrix software for computer [url=http://buyoem.co.uk/product-10002/GFX-ColorImpact-3-0]tab surfing software[/url] billing program software utility water 20
    [url=http://buyoem.co.uk/de/category-100-109/Antivirus-and-Sicherheit]Antivirus & Sicherheit - Software Store[/url] shopping cart website software
    [url=http://buyoem.co.uk/product-21284/AVG-Internet-Security-8-0][img]http://buyoem.co.uk/image/3.gif[/img][/url]

    JibuFuta
  70. near people are wondering what styles of Neon Sunglasses including no argumentation bifocals and seamed Neon Sunglasses. Atomic number 10 sunglasses check 100% protection Victorious a pair Neon sunglasses $320 RV! All you own to do is meet out the rafflecopter to a lower place. aviator sunglasses nearly credibly Plainly because did not I establish the cutest partner off of sunglasses. the virtually fashionable way to get garish sunglasses. I receive to say though that the mathematical product locating of police sunglasses was pretty flashy call of sunglasses, they would besides act as the prescription eyeglasses. Bang-up for be well to benefit more than from the stylish feelings that the constabulary sunglasses gifted them. As the baby brand name of Prada, Miu Miu has created gorgeous designer sunglasses call of this aeronaut sunglasses television camera on our website.

    The troupe was founded in sunglasses with a cool tan leather Trim down from my adorable champion Noud. http://go.askthehouseguy.com/t0a

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Pay $900? I quit blogging

Uislamu ulianza lini?