Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1
SAIKOLOJIA, neno lililotoholewa kutoka neno la kiingereza psychology, si elimu inayoeleweka sana katika jamii yetu. Asili ya 'psychology' ni neno 'psyche' lenye maana ya nafsi. Katika makala haya, tunasaili kwa ufupi maana ya saikolojia kama taaluma na kuonesha nafasi ya taaluma hiyo ngeni katika jamii yetu katika kutatua matatizo ya kijamii na hivyo kuharakisha juhudi za watu kujiletea maendeleo yetu.
hapo ipo kazi je kuna usalama kwani naona kama kitanda hapo.
JibuFutahapo ipo kazi je kuna usalama kwani naona kama kitanda hapo.
JibuFutaBwaya,
JibuFutaJe hii imetokea waoi?
Je kulikuwa na maafa?
hebu tujuze basi, mkasa mzima juu ya habari hii.
Kweli kabisa nakubaliana na kaka Shaban hapo kwamba TUJUZE lakini kuna watu kama siyo vijitu havisikii kama siyo hawaelewi labda hawajaelewa. Lakini kweli hii ni hatari
JibuFutaWadau,
JibuFutaAliyekuwa mmiliki wa hayo mabaki ya simu na kitanda kinachoonekana, alikuwa akiongea na simu hali ikiwa imeunganishwa kwenye umeme. Ikalipuka. Akafa.
Tunajifunza nini? Je, tunajua maafa yanayoambatana na matumizi ya simu?
siamini chris kweli tena hii ni kututisha tu
JibuFutaEbwanaee,kwa sasa kompyuta za mapajani,simu vimekuwa ni kama ulevi nchi hizi.Hapa udosini majuzi mzee mmoja kaungua sikio na sehemu ya kichwa upande wa kuume baada ya kulipukiwa na simu.
JibuFutaJamaa wanawalaumu wachina kwa bidha zao kuwa haizna ubora wa kutosha.Ulevi wa hivyo vitu umeanza kuniandama.
Ebwanaee,kwa sasa kompyuta za mapajani,simu vimekuwa ni kama ulevi nchi hizi.Hapa udosini majuzi mzee mmoja kaungua sikio na sehemu ya kichwa upande wa kuume baada ya kulipukiwa na simu.
JibuFutaJamaa wanawalaumu wachina kwa bidha zao kuwa haizna ubora wa kutosha.Ulevi wa hivyo vitu umeanza kuniandama.
Chrissie na Edigio, huu ni upande wa pili wa teknojia. Si utani. Kompyuta zinapofusha. Kompyuta za mapajani zinaharibu mbegu za kiume, simu ndiyo hivyo. Kila kitu kina pande mbili.
JibuFuta