Siri ya mwandiko wako

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini mwandiko wako unatofautiana na miandiko ya watu wengine? Hivi unajua kwamba mwandiko unaweza kutupa habari za kutosha kuhusu tabia yako, mwenendo wako, kiasi cha akili ulichonacho na kadhalika? Kuna siri gani katika miandiko yetu?

Subiri kidogo nakuja...

Maoni

  1. Hili nilikuwa sijui, naona darasa hapa linakolea hebu tuelee wanafunzi nitafurahi kujua.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Pay $900? I quit blogging

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Heri ya mwezi mpya!

Ukuaji wa Kiakili na Kimwili kwa Mtoto wa Miaka 0 – 3

Uislam: Ndoa na mali havihusiani?