Unapojielewa nini huwa kimetokea?

Kujielewa. Tunasisitiza sana kujielewa. Lakini je, kujielewa maana yake nini? Unapoelewa jambo nini hasa huwa kimetokea katika ufahamu wako? Je, kuna tofauti gani iliyopo unapolinganisha kabla hujaelewa na baada ya kuelewa jambo?

Je, twaweza kuelewa na/au kujua kila kitu? Je, upo ukomo (limit) wa uelewa?

Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Uislamu ulianza lini?

Haiba ni nini?

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Kama sio utumwa ni nini hiki?

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1