Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Wasifu wa Kazi (Curriculum Vitae)
Katika mchakato wa
kuomba ajira baada ya kuona tangazo la kazi, mambo matatu ni dhahiri. Mosi, huombi
kazi hiyo wewe mwenyewe. Wapo watu wengi wanaoandika maombi na hivyo kuongeza
ushindani wa nani atapata.
Pili, nyaraka
unazotuma kwa mwajiri mtarajiwa ndizo zinazojenga utambulisho wako kabla wewe
mwenyewe hujafahamika. Tatu, afisa mwajiri hatatumia muda mrefu kusoma maelezo
yako. Katika hali ya kawaida, atatumia dakika moja kuamua ikiwa amevutiwa na
maelezo yako ama la.
Kwa sababu hizo,
maandalizi ya nyaraka utakazotumia kuomba kazi ni muhimu yafanyike kwa umakini ili
kuongeza uwezekano wa kuitwa kwenye usaili.
Katika mfululizo wa
makala hizi, tutajadili namna unavyoweza kuandaa nyaraka mbili kuu ambazo ni wasifu
(maelezo) binafsi, pamoja na barua ya maombi ya kazi. Katika makala ya leo,
tunaanza na wasifu binafsi.
Wasifu binafsi ni maelezo yanayopambanua maarifa, ujuzi na uzoefu alionao mtafuta kazi kwa lengo la kumshawishi mwajiri kuwa anazo sifa na vigezo vya kuweza kufanya kazi iliyotangazwa.
Wasifu binafsi ni maelezo yanayopambanua maarifa, ujuzi na uzoefu alionao mtafuta kazi kwa lengo la kumshawishi mwajiri kuwa anazo sifa na vigezo vya kuweza kufanya kazi iliyotangazwa.
Katika kuandika wasifu binafsi, mambo saba ni ya muhimu kuzingatia:
Taarifa za msingi za mtafuta kazi
Weka taarifa zinazokutambulisha kama vile majina yako kamili, jinsia, hali ya ndoa, tarehe ya kuzaliwa, utaifa na njia muhimu za mawasiliano zinazoweza kutumiwa kukufikia.
Mfano:
Jina:
Utaifa:
Mahali
pa kuzaliwa:
Tarehe
ya kuzaliwa:
Hali ya
Ndoa:
Anwani
ya Posta:
Simu:
Barua
pepe:
Hata hivyo, zipo
taarifa nyinginezo zinazoweza kuwa muhimu lakini zisizo na ulazima wa
kufahamika. Hizi ni kama kabila, dini, idadi ya watoto na mitazamo au ufuasi wa
kisiasa.
Unaweza kuwa na aya
moja yenye mhutasari wa wasifu wako, ukaeleza tunu zinazoongoza utendaji wako
wa kazi. Aya hii inapoandaliwa vizuri hujenga taswira ya mtu anayejitambua.
Sifa za kitaaluma
Kuna namna nyingi za uandikaji wa sifa hizi, lakini kilicho muhimu ni kueleweka. Anza na ngazi ya juu zaidi ya kitaaluma uliyofikia na shuka mpaka ngazi ya chini. Onesha mwaka yalipofanyika mafunzo hayo, tunuku ya kitaaluma (mfano cheti, Stashahada, shahada) na chini yake taja taasisi iliyotoa tunuku hiyo na mahali ilipo (mfano shule, chuo na kadhalika).
Mfano;
2011-2013: Shahada ya Sanaa katika Stadi za Mazingira
Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge, Moshi
Kwa kawaida, sifa hizi huwa ni zile zinazohusiana na mafunzo ya ujuzi yatolewayo kwa ngazi ya chuo kukupa utaalam. Lakini waweza pia kutaja ngazi ya Cheti cha Juu cha Elimu ya Sekondari na Cheti cha Elimu ya Sekondari.

Uzoefu na historia ya kuajiriwa
Onesha ajira ulizowahi kuzifanya iwe kwa ajira rasmi au kwa kujitolea. Orodhesha uzoefu wako kwa mtiririko wa aina ya ajira kuanzia ya hivi karibuni zaidi au uliyonayo, taasisi husika pamoja na mwaka wa kuanza na kumaliza kazi hiyo.
Kumbuka kuwa mwajiri makini hutafuta kuona maneno muhimu kama "kuzalisha/kuongeza (ufanisi)", "kupunguza/kuondoa (changamoto)", "kubuni", "kuanzisha", "kusababisha", "kubadili", "kuchangia mabadiliko", "kuwezesha" na mengineyo.

Kwa mfano,
2013-2015: Mwandishi wa Habari za
Mazingira, Mwananchi Communications Ltd
Kwa kushirikiana na wenzangu,
nilibuni utaratibu wa…ambao ulisaidia kuondoa changamoto ya…iliyokuwepo awali.
Usipoteze muda
kueleza majukumu yako ya kila siku. Tafuta maeneo ambayo mchango wako
ulionekana na yataje kwa kutumie vitenzi tulivyovitaja hapo juu.
Ujuzi na weledi
Katika sehemu hii onesha aina ya ujuzi na weledi uliowahi kuupata kupitia warsha, semina na makongamano yalivyokusaidia kuongeza ujuzi mwepesi unaoweza kukusaidia "kuzalisha", "kukuza", "kubuni", "kuanzisha", "kusababisha", "kubadili", "kuchangia mabadiliko" na "kuwezesha". Onesha mahali, mwaka, shughuli husika na malengo yake kwa mtiririko wa kuanzia hivi karibuni mpaka yale ya zamani.

Machapisho na tafiti
Kama kazi unayoomba inahusiana na masuala ya taaluma na elimu (mfano ualimu, ukufunzi, utafiti, uhadhiri), onesha machapisho na tafiti ulizowahi kuzifanya na kuziandika. Hapa, utaonesha jina la chapisho husika, mchapishaji na mwaka lilipochapishwa. Lengo ni kuonyesha ushiriki wako katika kutafuta majibu ya changamoto zinazoikabili jamii, ikiwa ni pamoja na kuchangia kukuza maarifa yaliyopo.

Tuzo au heshima
Mwajiri huvutiwa na mtu anayeweza kuonesha namna jitihada zake zilivyotambuliwa na wengine. Onesha namna bidii, na ari yako ya kazi ilivyowahi kutambuliwa katika ajira zilizopita. Si lazima iwe kazini tu, yaweza kuwa katika masomo, lakini ziwe tofauti na zile tunuku za kitaaluma moja kwa moja.
Maneno kama, "nilishinda", "nilituzwa" na "nilitambuliwa", kwa sababu ya shughuli, majukumu, jitihada zilizowahi kufanywa, yanakuongezea nafasi ya kukubalika.
Orodha ya wadhamini
Taja watu wanaoaminika wanaoweza kutoa ushuhuda wa uwezo na weledi wako. Orodhesha angalau watu watatu wenye nyadhifa zinazotambulika na wanaokufahamu vizuri iwe kwa sababu wamekufundisha au waliwahi kufanya kazi na wewe.
Ni vizuri
kuwasiliana nao kabla ya kuwataja kwa kuwa wanaweza kuulizwa pasipo wewe kujua.
Na wakati mwingine ni vyema kuwaomba kukuandikia barua ya utambulisho
ukazitumia inapolazimika.
Zingatia
·
CV nzuri hubadilika
kukidhi matakwa ya kazi inayoombwa.
·
Imeandikwa kwa
ufupi na haizidi kurasa mbili
·
Ina taarifa nyingi
muhimu lakini kwa maelezo yanayoonekana kirahisi
·
Imeandikwa kwa
umakini na haina makosa ya kiuchapaji
·
Haina taarifa zilizotiwa
chumvi au uongo
·
Haina picha ya
mwombaji

KAKA, nakupa hongera sana kwa darasa zuri unaloliendesha. MUNGU akubariki sana
JibuFutaSex Story
JibuFutaSex aunt
Sex virginy
Sex threesome
image hot
Asante mkuu
JibuFutaHongera sana na asante kwa mafunzo
JibuFutaAksante kwa maelezo
JibuFutaiko poa sana so helpful
JibuFutaBless sana
JibuFutaImekidhi mahitaji, so ipo ok
JibuFutaTafadhali unaweza kuattach video yangu nikielekeza namna ya kuandika cv kwa kutumia simu ya mkononi
JibuFutaLink yake hii hapa
https://youtu.be/l3JEl78gMso
Natanguliza shukran
Ameiandika kazi yake vizuri na ipo wazi,asante sana
JibuFutaIme kaa poa sana kaka sija wahi kuandika cv ila umeni fundisha xx naweza kuandika
JibuFutaAsant mkuu kwa darasa lako nimeelewa shukran
JibuFutaAsante mkuu kwa darasa nimeelewa shukran
JibuFutaNzuri Sana kaka
JibuFutaเฮง เฮง 888 สล็อต เว็บตรง มาแรง การเล่นสล็อตออนไลน์กำลังเป็นที่นิยมอย่างต่อเนื่องในวงการเกมโอนไลน์ pg โดยเฉพาะเมื่อมีเว็บไซต์ที่เปิดให้บริการโดยตรงที่มีชื่อเสียงและมีความน่าเชื่อถือ
JibuFutaKwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
JibuFutaMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com
Uchawi wa mapenzi wa Dkt. Dawn hufanya maajabu kweli.
JibuFutaNiliwasiliana na Dkt. Dawn wakati uhusiano wangu ulipovunjika kabisa. Mpenzi wangu wa zamani alikuwa ameniacha na kunizuia kwenye mitandao yote ya kijamii. Nilivunjika moyo na kupoteza tumaini. Baada ya kushauriana na Dkt. Dawn, kila kitu kilibadilika. Mpenzi wangu wa zamani alirudi peke yake, akaomba msamaha kwa dhati, na akaomba msamaha. Leo, tunaishi pamoja kwa furaha, na hata tuna mtoto.
Maneno hayatoshi kuelezea jinsi ninavyoshukuru. Kutokana na uzoefu wangu, naweza kusema kwa ujasiri kwamba Dkt. Dawn ni halisi, anayetegemewa, na mwenye nguvu. Ikiwa unakabiliwa na hali yoyote ngumu maishani mwako hivi sasa, Dkt. Dawn anaweza kukusaidia.
ANAWEZA KUKUSAIDIA KWA MATATIZO YAFUATAYO:
Kurudisha ndoa na mahusiano yaliyovunjika
Kuvutia mafanikio na ukuaji katika biashara
Matatizo ya uanaume, utasa, na ukosefu wa watoto
Kurejesha mali zilizoibiwa au zilizopotea
Kurudisha kazi zilizopotea au fursa za kazi
Kinga dhidi ya uchawi na macho mabaya
Hirizi za mvuto
Kutatua migogoro ya ardhi na mali
Kuwafanya wapenzi kutimiza ahadi zao
Kushinda kesi mahakamani, na mengine mengi
Huu si ulaghai — ni ushuhuda kutoka kwa uzoefu.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana naye moja kwa moja kwenye WhatsApp. +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com