Kaluse mwanablogu wa utambuzi

Je, unaujua utambuzi? Kama sivyo, basi ujio wa huyu mwanablogu mpya utakupa majibu. Bonyeza hapa umsome. Anazungumzia mambo yanayohusu nafsi zetu. Saikolojia. Binafsi nimependezwa na ujio wa mwanablogu huyu. Naamini utapenda kumsoma na kujadiliana na wasomaji wengine humo.

Maoni

  1. yap. nimemtembelea na kumfagilia pia. ametulia! ni elimu muhimu ambayo haitolewi hata vyuo vikuu. tumtembelee na tujifunze mengi. all the best

    JibuFuta
  2. Ahsante sana Bwana Bwaya kwa kunitembelea na kunipa moyo. nimefurahi sana kwa kunitambulisha kwa wadau wengine, na mimi pia nawakaribisha na ninaomba michango yao ili tuweze kuiboresha blog yetu hii.

    I hope together tunawakilisha.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Malezi yanavyochochea ubabe katika jamii

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Changamoto za kuwanyima watoto kufurahia utoto wao

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1