Jumatano, Novemba 04, 2009

Tulitembea kabla hatujatambaa?

Watu wengi tunayo mengi sana tunayoyafahamu. Lakini hayo yote tunayoyajua yanakosa namna ya kutusaidia sisi wenyewe, kwa sababu tuliruka hatua muhimu katika maisha. Hatua yenyewe ni kujifahamu sisi wenyewe.

Nikirudi nitafafanua.

Maoni 1 :

  1. Lipo pia tatizo la kujifahamu vibaya kwa wafikiriao wamejifahamu vizuri lakini!:-(

    JibuFuta