Mdoti: Mwanablogu wa kufikirisha katua

Nakumbuka miaka ya 2005 na 2006 wakati vugu vugu la blogu likiwa linashika kasi Bongo, ilikuwa ni kawaida kila siku kukutana na 'post' ya kumtambulisha mwanablogu mpya wa kiswahili kwa karibu kila blogu.

Kwa sasa, kasi hiyo imepungua sana. Pengine sababu zinaweza kuwa nyingi. Shughuli zimekuwa nyingi na kadhalika.

Lakini kwa kutambua umuhimu wake, naomba kumtambulisha mwanablogu mpya Ndugu Mdoti ambaye bila shaka anayo mengi ya kutufikirisha kupitia blogu yake anayoiita tufikiri. Bonyeza hapa kumtembelea mwanablogu huyu, umkaribishe.

Ukiweza pia kumtambulisha kwa wasomaji wako kupitia blogu yako, itakuwa poa sana.

Maoni

  1. Kaka. Tunashukuru kuwa unaweza kuwakaribisha uwaonao. Nami namkaribishia hapa kisha nakimbilia kwake kumkaribisha
    Blessings

    JibuFuta
  2. na ulimwengu wetu uendelee ili tuzidi kujielewa. sasa naenda kwake.

    JibuFuta
  3. Karibu Mdot ingawa nahisi kwako mie wala sio mgeni

    JibuFuta
  4. Wacha nami nipitie huko...

    JibuFuta
  5. waama Mdoti wetu NJOO barazani

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?