Jumatatu, Novemba 30, 2009

Hongera Mzee wa Mshitu


Mwanablogu Yahya Chaharani (anayesikiliza simu) amepata Shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino, Mwanza. Hongera sana kwa kupiga hatua!Hapo ni katika mahafali yaliyofanyika juma lililopita.

Picha kutoka blogu ya Mzee wa mshitu

Maoni 2 :