Alhamisi, Juni 19, 2008

Sayansi na imani, mwendelezo

Niliandika mara kadhaa, nikijaribu kuonyesha matatizo ninayoyaona katika sayansi. Kusema kweli siandiki kudhihaki umaana na heshima ya sayansi. Ninaandika kuangalia kwa upya nafasi ya sayansi katika ulimwengu wetu kwa kutizama mipaka yake. Ningeomba msomaji awe mvumilivu tunapoelekea katika hitimisho la mjadala huu.

Kama u msomaji mpya, unaweza kupitia hapa na ukaja hapa, kwa mtiririko huo huo ukasoma na hapa pia. Halafu tuendelee.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni