Kujifunza katika upana wake!

Nimesoma majadiliano kati ya Mubelwa Bandio na msomaji wake. Nimejifunza maana ya kujifunza. Labda na wewe utajifunza. Tafadhali bonyeza hapa kusoma mazungumzo hayo niliyoyapenda sana huenda ukajifunza kujifunza.

Asante Mubelwa kwa changamoto hiyo.

Maoni

  1. kaka bwaya sio wewe tu umejifunza kitu hata mie nimejifunza kitu ambacho sikujifunza. Na nakubali kweli huyu ni Mzee wa Changamoto na naweza kusema najivunia uwepo wake.

    JibuFuta
  2. Bomba la mjadala. Niliupitia mara kadhaa kuutolea macho nikisubiria uendelee eti.:-(

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Zilisomwa zaidi wiki hii...

Mambo Yanayoweza Kugusa Moyo wa Mwanamke-1

Mbinu za Kushinda Maswali ya Usaili wa Kazi - 1

Tumia Mbinu Hizi Kuelewa Unachokisoma -3

Maana ya Saikolojia na Nafasi Yake Katika Jamii -1

Haiba ni nini?

Uislamu ulianza lini?