Jumamosi, Septemba 11, 2010

Cheka na utafakari kwa bidii!

Hii ni kauli mbiu ya mdau mmoja kwenye jukwaa la majadiliano pale Jamiiforums. Yeye anasema:

Usifanye kosa kuchagua RAIS MGONJWA tukaingia hasara ya kurudia uchaguzi!

Nimecheka kwa sababu nilihitaji kucheka asubuhi hii. Ila nimeikopi nikitafakari. Jumamosi njema wadau!

Maoni 1 :

  1. endapo yupo mgombea aliyethibitika ni mgonjwa basi ni heri ashauriwe apate muda wa mapumziko. aachane na siasa

    JibuFuta